Music Video

BREEDER LW - "NAIPENDA REMIX" Ft Maandy X Trio Mio X UncoJingJong (Official Video)
Watch BREEDER LW - "NAIPENDA REMIX" Ft Maandy X Trio Mio X UncoJingJong (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Breeder LW
Breeder LW
Performer
Trio Mio
Trio Mio
Performer
Uncojingjong
Uncojingjong
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Baraka Otieno
Paul Baraka Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Yo Alex
Yo Alex
Producer

Lyrics

[Intro]
Mi ni big baba side nonsense
Nishaitarget juu ni full package
Na we ni fine mama haunt compe
Ka unaipenda sema usiogope
[Chorus]
Ati (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) tulia (Naipenda)
Ntakupanga (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) ntakupanga (Naipenda)
[Verse 1]
Nishakudigi ka binoculars, I like what I see
Inakaa we huruka-ruka ukitry kuvaa jeans
Wasoro wananiamdama me hufichanga last seen
A girl toto, si uko juu ka ile mkeko ya Aladeen
[Verse 2]
Como tuta pelle
Tunaeza blend kama Eve na lapelle
Umedunga Chanelle
If you know me well, I can be your clientelle
Ka unakinda na nunua tuma invoice mail
[Verse 3]
Na ka ushavuta signal, siko busy if you wanna see me later
Me si Nonini but si leo niko kwa keja
Ulishaskia vile nyuki hufuata asali come thru niko na mali
[Verse 4]
Naipenda walai naitaka
We ni big mama basi mi ni mafa
Mtu fisa lamia utoe pesa
Bembeleza sijui kuteseka
Basi ganji baba si uletaa
Unarukia kati ni chess tunacheza
Mchuzi nicely na siko kwenye Tesla
Kwa lap ya tajiri kazi tu kuchekacheka
[Verse 5]
Whatchu know about living this life
Baby girl anaryme to your favourite I said hi
This man anadai nikue wife na watoi ka five
Anajokes za YY
[PreChorus]
Mi ni big baba side nonsense
Nishaitarget juu ni full package
Na we ni fine mama haunt compe
Ka unaipenda sema usiogope
[Chorus]
Ati (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) tulia (Naipenda)
Ntakupanga (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) ntakupanga (Naipenda)
[Verse 6]
Mi ni big baba kuja nikueleze kwa nini
Duh za kizazi unaskilia hadi kwa maini
Bad girl, limbo inakurudisha maini
Disciplinarian odijo wa Kiswahili
[Verse 7]
Kama ungependa talk to big boy usitense
Come twende chamber kikoroboi chokishes
Pandisha top hadi kuresoi kavekesh
Nikutandike proper tujienjoy
[Verse 8]
Najua unaipenda nacheki unaitaka pia
Na ikiimba na design unaezakampandia
Hii rung niko na baraka inafunguanga manjia
Upostiwe Nairobi Gossip "Huyo ni promo na mia"
[PreChorus]
Mi ni big baba side nonsense
Nishaitarget juu ni full package
Na we ni fine mama haunt compe
Ka unaipenda sema usiogope
[Chorus]
Ati (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) tulia (Naipenda)
Ntakupanga (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) ntakupanga (Naipenda)
[Verse 9]
Me look the way you look, pretty girl listener haitaboots
Bad girl look bladder-bradder, kwa hihi streets tunamurder
Hive vyenye kunaenda ndo mi hupenda nieke notipik
Chance kwa sa inna niko obsessed na hii female gender siezikutafta
[Verse 10]
Ka sina agenda uuh, uuh
Piggy a listener this girl is nasty uuh, uuh
Dramatic interesting party uuh, uuh
This pretty girl is masking foreign juu niko sure hiyo accent yake
Haijatoka kwa hii country
[Verse 11]
Baa gwenji one test me lig me divide, ananda chine amekujia
Anataka tushobide
Gwenji, one take me big night everyday anajua chenye amekujia
Anataka tushobide
[PreChorus]
Mi ni big baba side nonsense
Nishaitarget juu ni full package
Na we ni fine mama haunt compe
Ka unaipenda sema usiogope
[Chorus]
Ati (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) tulia (Naipenda)
Ntakupanga (Naipenda) tulia (Naipenda)
Relax (Naipenda) ntakupanga (Naipenda)
Written by: Paul Baraka Otieno
instagramSharePathic_arrow_out