Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Femi One
Performer
Wangechi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
WANJIKU KIMANI
Songwriter
Lyrics
Kubonga ni free, inaitwa lip service
Economy steep, pang'ang'a ni kazi
Supply iko juu ya demand bei ni nafuu ukidai kumake purchase
Femi una-need feature? Ah zii msanii una-need practice
Opinions in abundance pause, keep it to yourself kwani is it by force
Mi usini-stress, sijali of course, nani na-impress, nip ni-endorse
Na sijai-tense nina wingi wa sauce
Cheki vision close, queen MCee talk to me kiongos
Get mbs unipost twitter, Femi siku hizi floss
Usi-mind juu ya opp ako chini, mbona? Moshi huenda juu
Mi huishi maisha ki dejavu, hii si kismat ni mahesabu
Mbona ukue mpole, bonga, msee akikusinya fungua roho
Mwonyeshe kidole songa, utalipa kugonga
Kubonga ni free, fungua roho
Na kama kawa hio talk ni cheap
Bei ni ya jioni unaeza-afford
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service

Kubonga ni free, story ni za bei poa na cheap
Chali hudai kukufa nami, kunipata zii kunyonga ni free
Kunyonga ni free, ongeza haga, ongeza ma-tits
Unaeza-bleach, oga na jik, uza shamba nunua Jeep
Bitch unadhani nina-joke na ku-beat ka ule producer alini-provoke
Peng ting bado ye' ni chop, late 20 na anasema ninakaa 20
I hope uta-back hiyo talk, kwenu nimezoza imebakia Forbes
Kwa hii life achia God ai-sort, highlight kuna ndai na-import
Na uwaambie nitacheka side zote, venye nimerudi kuna watu nime-shock
Uongo mingi ukibonga una-choke
Hio chain si origi ni props, beat ikikam nai-wash, beef leta ila ram ni pork
Madem wan-run Nairo, but the real men wanavaa maimbo
Them cannot come for me when you see me know you rockin' with the baddest B
Mambleina huwanga petty, mkin'sengenya msisahau kusema Wangechi
Kubonga ni free, fungua roho
Na kama kawa hio talk ni cheap, bei ni ya jioni unaeza-afford
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Kubonga ni free, fungua roho
Na kama kawa hio talk ni cheap, bei ni ya jioni unaeza-afford
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Sijai jisumbua na mbleina hanilishi, hanivishi na maoni anapewa kwa wingi
90 by 50 najengeshea Mwiki na sister mbigi nashikia misiri
Mi naasplit hio plate, mandame walianza na mimi nikiwa chini hautaja na-sort
Ngumu u-relate, watu wanakimbiza ulimi na umbeya na udaku kwa plot
Boss madam, ndani ya ki nakam, hii mboka ni God na fam
Mziki ni organic, hii pande hatu-force mafans wana-pree niki-drop majam
I keep it classy, I'm not just anyone, hamkuicheki, Wangechi na Femi One
****your feelings, **** your opinions, boss I'm busy si-chat na minions, luku ni safi na si ati ni video shoot
Bado wanashangaa ni nini mi hu-do, moshi ni ya ganja na liquor ni soup, fika nikupe
Kubonga ni free, fungua roho
Na kama kawa hio talk ni cheap, bei ni ya jioni unaeza-afford
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Kubonga ni free, fungua roho
Na kama kawa hio talk ni chaep, bei ni ya jioni unaeza-afford
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Karibu customer, karibu customer inaitwa lip service
Written by: WANJIKU KIMANI