Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lilmaina
Lilmaina
Performer
Scar Mkadinali
Scar Mkadinali
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jeremy Maina
Jeremy Maina
Songwriter
Churchill Mandela Oganga
Churchill Mandela Oganga
Songwriter
Churchill Mandela
Churchill Mandela
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ramoon
Ramoon
Producer

Lyrics

[Intro]
Ma Ma Ma Ma Ma G, Ma G
Ah cheki, ah-ah
Skiza basi
[Verse 1]
Kapoa, kazuri kanadai kunfambalisha
Na mali yako akikuja anabakishwa
Nataka kapoa ako na accent ya Lupita
Attitude ya Huddah, manze mwili joh ni ya Nikita
[Verse 2]
And time is money so usiache ukipitwa
Kuna mafala kwa hii base wanachachisha
Nafuata nyuki nile asali nikigrind
But usipost waanze kusema manze joh unachoma picha
[Verse 3]
Nimesunda jaba, njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda, sidhani zitashuka
Na ngoma zote zinazoza, mpaka Kapuka
Na huku venye wanapeana, manze utashtuka!
[Chorus]
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu
Weh itisha, usifanye hadi hesabu - ai!
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Ma G kwenye klabu, Ma G kwenye klabu
[Chorus]
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu
Weh itisha, usifanye hadi hesabu, ai!
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Ma G kwenye klabu, Ma G kwenye klabu
[Verse 4]
Kushtuka, nimesunda jaba, njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda, sidhani zitashuka
Na ngoma zote zinazoza, mpaka Kapuka
[Verse 5]
Niko kwa kona nazitoka, skelewu (Ai!)
Na fom ya leo ni faster faster impromptu (Ai!)
Na manzi yako ananipanulia mguu (Ai!)
Ingekuwa wewe manze brathe ungedo? (So true!)
[PreChorus]
Nimesunda jaba, njoti zimelipuka
Na manze venye kunaenda, sidhani zitashuka
Na ngoma zote zinazoza, mpaka Kapuka
Na huku venye wanapeana, manze utashtuka!
[Chorus]
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu
Weh itisha, usifanye hadi hesabu, ai!
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Ma G kwenye klabu, Ma G kwenye klabu
[Chorus]
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu (For real, for real, you already know)
Weh itisha, usifanye hadi hesabu (Yo!)
Juu si ndio ma G kwenye klabu (For real)
Ma G kwenye (Yo!)
[Verse 6]
Sisi ndio ma G kwenye klabu
Si ni waexpee, utalipia photo?
Msupa wa Nai haezi struggle
Kwani unaexpect? Ka ye ni goshodo
[Verse 7]
Nilikupatia biz, ukaifumble
Unatafuta Mr. Riz ama Kovu?
Natembea na bad B hana adabu
Baby bonga na hiyo D, siezi cuddle
[Verse 8]
Wanasiasa wanadanganya bandu
Umecheki ile takataka imejaa bangu
Iwe Ngoso, Sheng ama Kiarabu
Miondoko ikinice, tunabanju
[Verse 9]
Nawasha ndom kwa Subaru ya mambaru
Nafeel home nikiwa jela na majangu
Naweka Chrome kwa chupa ya Malibu
Nikishaperform wanauliza Scar de alido? Ati-ati alido?
[Chorus]
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu
Weh itisha, usifanye hadi hesabu, ai!
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Ma G kwenye klabu, Ma G kwenye klabu
[Chorus]
Na kaa ni zogo, unafunzwa na adabu
Weh itisha, usifanye hadi hesabu
Juu si ndio ma G kwenye klabu
Ma G kwenye klabu, Ma G kwenye klabu
Written by: Churchill Mandela, Churchill Mandela Oganga, Jeremy Maina
instagramSharePathic_arrow_out