Top Songs By Femi One
Credits
PERFORMING ARTISTS
Femi One
Performer
COMPOSITION & LYRICS
WANJIKU KIMANI
Songwriter
KAKA EMPIRE
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
KAKA EMPIRE
Producer
Lyrics
Me Si diva Ni vile tu ni divine/
kila kitu ime Iva Hii design/
mli tarajia rinda zijivae?/
mnangoja hizi line ziji rhyme?/ eh?
wananishow Niko juu kama north pole/
cute face mwili ya nguvu kama blossom/
wanawish kunigo down mpaka south pole/
wasukume pillar ilale kama Samson!/
before all that, maneno matamu/
plus ahadi za vacation watamu/
kuongezewa majina sweet kwa salamu/
bado wengi hu kaushwa mwili ka sanamu
Verse 2
Sio ma diva, waja valia designer/ hizo claddi zina patikana China/ hata hushonwa kwa viwanda za Chandaria/ pale jumia u can order toka Naijaaaa*/ wana fikiri wako juu kama take off/ lakini bills wameshindwa kuzi offset/ mbona mnachekesha lifestyle ka ni fake yo?/ Si unge ngoja tu until uomoke/ uta thani ni ma baller, series A/ kumbe vile wako ubao ni siri yao/ situpanishwe na picha na vitu ka izo/ inabidi waoshe mabuda ka Lisa Gaitho
Written by: KAKA EMPIRE, WANJIKU KIMANI