Top Songs By Femi One
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Femi One
Performer
COMPOSITION & LYRICS
WANJIKU KIMANI
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Yeah, suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndio masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
[Verse 1]
Huh yeah, suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndio masuspect
It's like I'm on a plane **** you ain't got chieth
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
[Chorus]
Mmh ah yeah, suspect
Your hubby kwa choo na simu Femi ndio suspect
Denno ananichapia tushabadili bracket
Ya taxes tuliwachanga kuball on a budget
[Verse 2]
Maisha soft, money talks, shika accent
Kamati juu ya mawe, riba? mi ndio subject
Ni marathon na mnashindana nani fastest
The madness! na after miezi saba we ni past tense
[Verse 3]
Kusahaulika na kusonga na wakati
Studio kunapikwa kama balcony ya Ombachi
Na wafuasi wako njaa na wanabambanya ya munchies
Mi hupakua msosi wanagawanya mabakshish
Pewa moja, pewa mbili za lunchez
Nina wingi wa mate nikitema inahappen
Funga hattrick kwa fainali kama Kylian Mbappe
Ni Femi Uno, si wawili ni mjaste
[Chorus]
Mmh aah yeah, suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndio masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
[Chorus]
Huh yeah, suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndio masuspect
It's like I'm on a plane **** you ain't got chieth
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
[Verse 4]
Skuizi nakula table moja na bosses
They can't beat me wanataka tujoin forces
Wanaforce sana ndio iwaprofit na nipate losses
Hardworker ndio sa nakula io fruit ya kutrust the process
Wanajua I'm winning it nimetoka chini na nimebeba upini
Kaa rap haina maganji bro ntauza kidney
[Verse 5]
Hao marapper finicky wanauliza ni nini? Niko kazini G
No menopause flow kwa ulimi tight virginity
Huh, sorry, if you ain't heard of Katavelli
Kusema ukweli nakumbuka kitambo wakinikejeli
Saii ndio sauti iskike kwa izo mitambo you gotta pay me
Had a dream an angel told me pray and God will never fail me
[Verse 6]
Buo Buo! Military mindset
Kama si pesa haunipati kwenye handset
Vile nachapa kazi lazima nikafunge
Nairobi Nigeria wanashtuka Funke!
[Chorus]
Suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndio masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
[Verse 7]
Huh yeah, suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndio masuspect
It's like I'm on a plane **** you ain't got chieth
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
[Chorus]
Yeah, suspect
Another beat another murder, mi ndio suspect
Mi huosha marapper apa daily bila detergent
Incumbent, female emcee the best under the sunset
[Verse 8]
Wanalalisha wapewe duvet na mattress
Hii mziki iko na wenyewe, compee ni heartless
Kitu muhimu uelewe nang'aa regardless
Jaribu kunipima wazimu nkufanye absent
[Verse 9]
Look ni clean piga look to kill
Handset inavibrate nacheki "Who this be?"
Mic check, show promoter afike booking fee
N'na flu this week next week niko full degree
[Verse 10]
Dynamic duo Katavelli na Queen
Matapeli kwa telly nacheki daily wanalink
Krr, kazi nyepesi kazaneni nanii
Si tuko very kwa meli mtangoja sana tusink
[Chorus]
Mmh, yeah, suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndio masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
[Chorus]
Huh yeah, suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndio masuspect
It's like I'm on a plane **** you ain't got chieth
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
Written by: WANJIKU KIMANI