Top Songs By Atosha Kissava
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Atosha Kissava
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Atosha Kissava
Songwriter
Lyrics
(Yeye yeyeeeeeeee)
VERSE 1.
(Kila siku kila saa
U mwaminifu Jehovah)2
(Asubuhi,
Heeee!
Mchana, U mwaminifu Jehovah)2
Jioni hata Usiku
yeleleeeee
U mwaminifu Jehovah
Umeyapa Maana Maisha yangu Baba
U mwaminifu Jehovaha
Unanilindaaa
Unanitunzaa
Babababa U mwaminifu Jehova
Chorus
(Kila siku kila saa)
( Umwaminifu Jehovah)
Leads;
Kila Sikuuuu....
Umwaminifuuu....
Nikiamukaa......
Nikalalaa.......
Umwaminifuu
Hauniachi......
Wakati woteee Babaa...
Umwaminifuuuuu
Umwaminifuuu
Nimekuonaaa....
Umwaminifu Sanaa
U mwaminifuu
(Laaalalaaa!....( Music)
Heeee
Lalaalalalaa!...... (Music))2
VERSE2
Usiya Acha Mguu wangu Usogezwe yeyeyeyee......
Umeniwekea Wigo kama wa Ayubuuuu yuuuu yyuuuuu uuu
Hujaacha Adui wale Nyama yangu
uuuuuuu uuuh uuuh
Kila sikuuuu kila saaaa
Umwaminifu Jehovaa
Kila sikuuuuu
Kila saaaaaa
Umaminifu Jehova
Kila siku.........
Chorus
(Kila siku Kila saaaa
Umwaminifu Jehovaa)
*Leads *
Kila sikuuuuu
Kila saaaa
U mwaninifuu
Kila sikuuuu
Kila saaaa
Eeeeeh
Eeeee
Oooooh
Umwamifuu
Umwaminifu sanaa
Ahadi zakoo
Unatimizaa
Umwaminifu
Umwaminifuu
Bridge
(eeeh!eeeh!eeeeh!eeeh!)
Music......
Dance.......
VERSE 3
Wewe Nikoo
Ambae Nikoo
U mwaminifu Jehovaaa
Wewe Alphaaa
Na Omegaa Babaa
U mwaminifu Jehovaa
Matendo yako Yanashangaza Dunia Yeleleee
U mwaminifu Jehova
Watoto wako Leo tunakuabudu oooooh!
U mwaminifu Jehovaa
Chorus
Kila sikuuu....
Kila siku Kila Saa
Umwaminifu Jehovaa
Leads za chorus
Kila sikuuu....
Kazini kwangu
Eeeeh
Hauniachi..
Niaibikee Baba
U mwaminifuu
Unaongozaa....
Hatua zanguu
Bababababaa
Eeeeeeee...
Oooohhh....
Umwaminifuu
Unanitunzaaa....
Unanilindaaaa
Machozi yanguu
Umeyafutaa
Wakati wotee
Wanikumbatiaa
Babayanguuuu
Ninakupenda
Ninakupenda
Ninakupenda Yesuu
Eee
Ninakupendaaa
Ninakupendaa Yesu wangu
Baba
Ninakupendaaa
Ninakupendaaa
( yeyeyeyeyeye)
Written by: Atosha Kissava