Music Video

Lyrics

nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
mnataka kunitia mshawasha
fitina zenu hazipandi wala hazishuki
bure hio!
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
la la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la la (la la la)
wa mimi sibanduki, ni radhi nilaumiwe
wala sitotaharuki vizingiti niwekewe
wa mimi sibanduki, ni radhi nilaumiwe
wala sitotaharuki vizingiti niwekewe
nampenda kwa vyovyote simshuku
naeleza nyote muelewe
nampenda kwa vyovyote simshuku
naeleza nyote muelewe
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
raha na raha ni hizi, si raha za kuigiza
raha mimi na mpenzi yote tushayatimiza
raha na raha ni hizi, si raha za kuigiza
raha mimi na mpenzi yote tushayatimiza
kubalini mtupe zote pongezi
tumeshinda na bado twaongeza
kubalini mtupe zetu pongezi
tumeshinda na bado twaongeza
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
nampenda mpenzi wangu katu simwachi
mtasema mtachoka hatoki
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
la la la la la la la la (la la la)
Written by: Safari Sound Band
instagramSharePathic_arrow_out