Featured In
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Labda uliza moyo wangu
Ndo umenifanya mi nifike mapema
Mama uliza moyo wangu
Unavyonitesa imenibidi kusema (Eeh)
[PreChorus]
Zamaaaani
Toka zamani mama
Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
Usikatishe penzi ghafla
Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata
Sasa unachokitaka unakipata boo
Usilikatishe penzi letu
Maana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasaa?
[Chorus]
Aah mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aah mapepe ya nini? Aah pepe
Mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Punguza mapepe.
[Verse 2]
Mama Serebu
African Mama Serebu
Mziki una matter shebeduka
Anapendalea vidole uking'ata macho juu
Yako thamani, ni zaidi ya dhahabu
Nafanya hisani, usijepata taabu
[PreChorus]
Zamaaaani
Toka zamani mama
Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
Usikatishe penzi ghafla
Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata
Sasa unachokitaka unakipata boo
Usilikatishe penzi letu
Maana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasaa?
[Chorus]
Aah mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aah mapepe ya nini? Aah pepe
Mapepe ya nini? Pepe
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
[Outro]
Acha iendee
Acha iendee
Punguza mapepe
Written by: Jux