Credits
PERFORMING ARTISTS
Kleptomaniax
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kleptomaniax
Songwriter
Ogopa Djs
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
Na ningekuwa na jamii ya ma-Sadaam ka wasaba na
Mabunduki na makofia ka bilauri
Bidhaa za kujijali tu hali ni shauri
[Verse 2]
Skiza sauti kutoka Kenya mpaka Saudi
Arabia maajabu ya Musa, Firauni
Huyu kijana anafanya vipusa wa towni
Wavue mashati ma-panty ni kama wao ni
[Verse 3]
Wendawazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa
Rap naifanyia chapaa
Na ma-fans wanaonipenda jamaa
Sa hata ukinichukia siwezi jali ata (Siezi jali!)
[Verse 4]
Ka wee ni MC stick to the wax
Unafaa kuweza kutumia hip hop na other tracks
Si kuchukia wadhii juu wanatawala industry
Na wee bado uko huko chini
[Verse 5]
Kabla jina yako i-grow jipe miaka ka nane
Ka lazma nikutukane ndio ujulikane
Hip-hop ni culture ya love, usisahau
Pole kukuambia sikuchukii, nakudharau
[Chorus]
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
[Verse 6]
Naskia kuna MC's flani wametutusi
Ati ma-lyrics zetu mazee ni za upuzi
Na heri sisi hao wamejaa na virusi
Kumangana kila mahali kama mambuzi (Mee!)
[Verse 7]
Na ningekimya ningenyamaza, singejali
Ni venye rap jo nilianza uchangani
Ukalimani ukali yani, u hali gani?
MC, lengo la kuroga ni kupata mali (Ching! ching!)
[Verse 8]
Matamshi yachanganya kama lugha ya Punjabi
Kukubaliwa na wanati hata na mababi (Wee!)
Wacha kuji-do msee hatari
Tema na mimi nasema lakini tu ni safari
[Chorus]
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
[Refrain]
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
[Refrain]
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
[Verse 9]
Nina tracki nina mistari, Swahili jangili
Mkono wa kushoto ni mic, mbota na bangili
Tema na mimi ka una rhymes ka mia mbili
Ka sivyo risasi kwa shingo macho na akili
[Verse 10]
Lakini kabla nijaze nafasi ya pili
Lazma nirudishe matusi za hawa makafiri
Barabara na gari nawacha mkiwa chakari
Kazi ni usafiri, nasi ma-MC wachachari
[Verse 11]
Kabla single yako ipite yangu kwa charti
Geuza jina geuza flow geuza trouser na shati
Na bado ukitoboa kunigusa ni bahati
Naroga na Kihindi tena Kigujarati yeah
[Verse 12]
Zaga-blow, zigi-zow, zigi-zow
Kutema na mimi lazima utupe mbao
Ule jamaa mlidharau sa na-spit ka bunduki
Chiki blao chiki chiki blao blao
[Bridge]
Hatucheki na wadhii
Mafans wetu wamesema ndio
Au sio
Au sio
[Chorus]
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
Tuendelee ama tusiendelee? (Endelea!)
[Refrain]
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
[Refrain]
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
[Refrain]
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
Niaje bro? (Vipi beste)
Niaje siste? (Vipi dada)
Tunawacheki (Mnatucheki)
We got mad, mad love for y'all
Written by: Kleptomaniax, Ogopa Djs