Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Krupt
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Producer
Lyrics
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kabambe
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C
Kwa mara ya pili, skizeni kwa makini, prime time yangu kafika, pima rutini
Making the oz it's better to be out with your boys, making some trolls, so pretty homies sticking toys
Napiga time check sa ngapi, fungua radio yako, piga fine tune, cheki kama ni
Tisa nane ntane, tisa sita ntane
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C
Nasema huu mwaka nimekuja kuvuka mpaka, with ilicit rhymes na-preach kama pastor
Pastor? mababi nao rasta wote wamechacha kwenye dance-floor, chini kwa chini ikibamba shika namba kamata wako
Escort kwenye dance-floor nachora mpango, niothes, wapi wale wadhii wachore, wako kule nje wana finya vidole
Bas, pitisha hiyo gomba tuchonge, nusu lita ya Sprite toboa na ibambe, kuanzia saa hii hadi time gomba itanasa na wale wako ndani pale itabamba
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C
Masaku niyaenda yaenda wapi, so tutakaribia karibu na wapi, ni sa ngapi
Bado time, bado tunawasahau wakuita check-point wapi
Usiku mchanga myororo usiwe na wasiwasi, sema usiku mchanga myororo usiwe na wasiwasi
Kikwetu bango ni wakati wa kuweka shida zote kanukisha, ukituliza, ukijifurahisha, pewa mbili-mbili na marafiki
Kikwetu bango ni wakati wa kuweka shida zote kanukisha, ukituliza, ukijifurahisha, pewa mbili-mbili na marafiki
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande
Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C
Written by: Ogopa Djs