Top Songs By Nonini Mgenge2Ru
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nonini Mgenge2Ru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hubert Nakitare
Composer
Lyrics
[Intro]
Machali leo hamjalala
Machali leo hamjalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uanze kukatika
Machali leo hamjalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uanze kukatika
[Verse 1]
Ka ka we ni manzi wa Nairobi amka uanze kukatika
Piga nduru,piga nduru, piga nduru usikike huku kwetu Africa
Zima nchi zote lazima kelele itafika
Dunia nzima hakuna manzi ka wa Nairobi
Ameng'ra nguo safi kidhani jana amezitoa tope
Kila siku namuona tao akitembea na maringo
Anajua ukimpita lazima utapindua hiyo shingo
[Verse 2]
Kwa akili nafikiria atafunguaje hizo vifungo
Hiyo jeans imemkaza itamkazia kufika huko
Watu wameshindwa kusema jina yangu Nonini
Sababu nimeona mwingine amenga'ra li nini na nini
[Verse 3]
Checky vile anatetemeka ni kama nimekunywa chang'aa
Juwa zile vitu nimeona jana jo utashangaa
Jua Cali nakwambia utabidi tumeanza kuchangaa
Kama huna bima we ndio utaanza kutanga tanga
[Verse 4]
Cheki yule gagagagagagaga
Cheki yule gigagagagaga
Ningekuwa judge misingevaa nisivyo kawaida
Manzi wote wa Nairobi wangeshinda bila shida
[Chorus]
Machali leo hamjala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika)
Machali leo hamtala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika)
Machali leo hamtalala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika)
Machali leo hamtalala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika)
[Verse 5]
Hamunioni Nairobi tena nikienda kucheki movie
Ya manzi mpoa haja vaa any ndani ya jaccuzi
Hata ka ni Julia Roberts nataka wa Nairobi yule anaoganga na hiyo hiyo Roberts
Msafi size yake ameshisha kiplani
Msauni muatherere anaweza kumalizia ganji
Hakuona kwa kichwa yake ameketisha sisasini
Na kaa kawaida kwa mfuko anaingiza profit ya hamsini
[Verse 6]
Msichukuwe manzi yoyote yule humjui
Kamutee iso sana sana na wale wa huko Kitui
Lakini watu husema wanataki ya hiyo mi sijui
Kuwa ready kupelekwa mbio ama utawika u-u-uwii
[Verse 7]
Na naongea from experience niliacha moja juzi
Mluhya kumunduyo manzi ameshona bana
Hizo miguu zake amezitumia sana
Wacha ikae ka ni huyo mi nawika hapana
Saa umeongea, huyo ndio mambo yote
Nyuma ukimchecki mazee ambebe zote
Nikisimama na yeye, tunatoshana
Tukipoa down ni mrefu, tena sana
Nashindwa nikimpata hizo mizigo nitaezana
Usiniulize mzigo gani, wajua wacha kujifanya
[Chorus]
Machali leo hamjala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika)
Machali leo hamtala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika)
Machali leo hamtalala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika)
Machali leo hamtalala
[Verse 8]
Si-ja-choka na kuwapatia manzi wa Nairobi sifa Hii ngoma inaeza enda one hour kabla haijaisha
Kuna manzi mpoa ni ugonjwa huaga ameshikishwa
Mabeste wanaambia Nonini huwa umerogwa
Nimerogwa na ninazidi kuroga juu ya vile wananiroga
Au vipi Jua Cali, mmh
[Verse 9]
Nakwambia ukweli mi si muongo wala muoga
Ukilala wasikia sauti yangu na kwambia songa
Ukikaa niko kando yako bado ukibuy mboga
Kwa bafu, kwa bafu, kwa bafu
Niko nyuma yako na kusugua mgongo tukiogaa
[Chorus]
Machali leo hamjala (Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika)
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika
Machali leo hamtalala, machali leo hamtalala
Written by: Hubert Nakitare