Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbuzi Gang
Mbuzi Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamwea
Joseph Nyamwea
Songwriter
Mike Makori
Mike Makori
Songwriter
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter

Lyrics

Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Ngoma ni kali shanty ainame
Nkuruma zogo wee ni kwame
Lewa tuliza idhi Kanye
Nina taki ya nani
Taki Taki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezwa na majirani
Taki Taki Yani Taki ya ganji Taki si funny
Staki staki nyama ka si mbuzi
Venye nimeshona nimetumia lil uzi
Calories kwa di*k naeza f*ck hii dunia
Wanaclaim wako sick that's why wanajikunia
Hey dear
Beat ikidrop inabeat hadi fear
Ka unadai picha au feature
Lipia
Just kidding though
Mshamada kunyesha nimekill hii flow
Nimekill ego
Mwana wa ingo
Niko na rende hakuna venye nitakaa single
Chunga hoe bro wengi wanakaa shimo
Ukishachimba wanakutoka tu kijelimo
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Ngoma ni kali shanty ainame
Nkuruma zogo wee ni kwame
Lewa tuliza idhi Kanye
Nina taki ya nani
Taki Taki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezwa na majirani
Taki Taki Yani Taki ya ganji Taki si funny
Scorpion kanga weka signal
Uuuwii siginal
Weeee wewe weka signal
Ayayayaya
Niko na Taki ya kimama kinono kiko na harrier
Harrier yake na kerea ziko na carrier
Sheria ni ati nitokee nikitaka any uh
Anyway tuko maarea area tuko na henny uh
Ma-uuurgh za nini nani makasiriko
Ka unataka basi kuja mahali niko
Kiko kikolo ndo tuanze ma-kickoffs
Kidogo kondiko kwa ghodoro za gikosh
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Ngoma ni kali shanty ainame
Nkuruma zogo wee ni kwame
Lewa tuliza idhi Kanye
Nina taki ya nani
Taki Taki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezwa na majirani
Taki Taki Yani Taki ya ganji Taki si funny
Kazi kwa mi daily mi hukuwanga na dooh
Ka msupa ni keki mi humuita sinyor
Monalisa flow ishajipa nikimlisha mboko of course ye huwika eh
Mbuzi ndo rende
Rende rende kuchana
Mziki ni genje
na imeshinda ya jana
Mfuko imeshona mtu tatu ni chama
Si tumekuja na njama mita moja Alama
Kazi kuganga kazi hapa kuroga
Zangu zimenata Nina ego imeshona
Shika huyo dada na ukikosa nabonya
Ati mbuzi ndo rende
Rende rende ogopa
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Ngoma ni kali shanty ainame
Nkuruma zogo wee ni kwame
Lewa tuliza idhi Kanye
Nina taki ya nani
Taki Taki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezwa na majirani
Taki Taki Yani Taki ya ganji Taki si funny
Written by: Harry Otieno, Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno
instagramSharePathic_arrow_out