Music Video

Nviiri the Storyteller - Kitenge (Official Music Video) SMS (Skiza 5802167) to 811
Watch Nviiri the Storyteller - Kitenge (Official Music Video) SMS (Skiza 5802167) to 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Wuod Omollo
Wuod Omollo
Producer

Lyrics

Ooh, ni kama siyuko ready
Nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
Ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio
Nikadanganywa eti maua ndio suluhisho
Na niongeze chocolate, bas! Hizi vitu hufanyangwa hivyo
But then I fell in love, mambo ikakuwa complicated
Hii ni hesabu, yes, feeling in love
Nimeingia mtihani bila kalamu, eh
I'm not ready
Pressure mingi, mi nadedi
Oh, I'm going crazy, yeah, yeah
Juu sasa ninavalishwa kitenge
Tukifanana, penzi ni ya milele
Nyoa rasta mzazi akupende
Hizi vitu kwangu ni crazy
Juu sielewi vile kitenge
Itafanya penzi iwe milele
Na mbona rasta mzazi asipende?
Hizi vitu kwangu ni crazy
(I'm not ready, I'm not ready) Woooah
Ni kama siyuko ready
(I'm not ready, I'm not ready)
Nimerudi square one
One plus one wacha ibaki one
Msinifunze, mi nimesha-learn
Napambana na hali yangu kama Saddam
Basi tusiwa-mind (Oh, wale)
Tusiwape sikio (Oh, wale)
Later, baby, we'll be fine (Oh, wale)
Tusiwaonyeshe kilio (Oh, wale)
For those who fall in love
Mambo isikuwe complicated kama hesabu
When you're in love
Usijipate mtihani bila kalamu, yeah
If you're not ready (Ready, yeah)
Pressure mingi, usidedi (Dedi, yeah, yeah)
Please don't go crazy
Juu sasa ninavalishwa kitenge
Tukifanana, penzi ni ya milele
Nyoa rasta mzazi akupende
Hizi vitu kwangu ni crazy
Juu sielewi vile kitenge
Itafanya penzi iwe milele
Na mbona rasta mzazi asipende?
Hizi vitu kwangu ni crazy
(I'm not ready, I'm not ready) Woooah
Ni kama siyuko ready
(I'm not ready, I'm not ready) Ni kama siyuko ready
Nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
Ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio
Written by: NVIIRI SANDE, Nviiri The Storyteller
instagramSharePathic_arrow_out