Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nusder Venom
Nusder Venom
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Upepo mwanana
Nawe upo kifuani mwangu
Jua likizama
Mikono salama
Karibu kwenye moyo wangu
Mi baba uwe mama, aahh
[PreChorus]
Zima taa washa mishumaa
Nilishe kama na njaa
Haa!! Haa! Haa!
Kila dakika kila masaa palilia penzi litasinyaa
Haa!! Haa! Haa!
Sura yako macho yako
Upole wa mama yako we chaguo langu
Mamaaa ahh!
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako we chaguo langu
Mamaa ahh!
[Chorus]
(Wasiwasi) Mwenzako sina mbona niko na wewe
(Wasiwasi) Tunza heshima niwe nawe milele
(Wasiwasi) Uko na miimi usiwe na wasi (Wasiwasi)
Uniamini usiwe na wasiwaa
[Verse 2]
Ntakuganda ruba pua na lesso tufatane
Mahabuba tuwe mapacha tufanane
Wenye husuda na wakiroga tutengane
Ongeza rutuba nije na pete tuoane
Supu chuku-chuku miguu ya vikuku
Ayah! utauwa eehh! (Utauwa eehh)
[PreChorus]
Nahema nusu nusu ukinibusubusu
Ayah! maua ehh! (Maua ehhh!)
Sura yako macho yako
Upole wa mama yako we chaguo langu
Mamaa ahh!
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako we chaguo langu
Mamaa aahh!
[Chorus]
(Wasiwasi) Mwenzako sina mbona niko na wewe
(Wasiwasi) Tunza heshima niwe nawe milele
(Wasiwasi) Uko na miimi usiwe na wasi (Wasiwasi)
Uniamini usiwe na wasiwaa
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out