Music Video

Guardian Angel - MTETEZI ( Music video )
Watch Guardian Angel -     MTETEZI  ( Music video ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Guardian Angel
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Guardian Angel
Guardian Angel
Songwriter
Timothy Boikwa
Timothy Boikwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Still Alive Productions
Still Alive Productions
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

[Chorus]
Wewe ndiwe unayenitetea
Wakiinuka dhidi yangu, we ndo mtetezi wangu
Wewe ndiwe unayenitetea
Unapigana vita vyangu, wewe ndiwe ngao yangu
Wewe ndiwe unayenitetea
Wakitaja unyonge wangu, na pia udhaifu wangu Bwana Yesu
Wewe ndiwe unayenitetea
[Verse 1]
Bwana unijia kwa njia moja, unawatawanya kwa njia saba
Bwana wewe ndo unayenitetea, Yesu
Una nguvu nyingi uliye ndani yangu, zaidi ya wale walio kinyume changu
Bwana we ndio unaniytetea, Yesu
[PreChorus]
Umeniepusha na adui zangu, umeniondolea majaribu
Umenitunza, umenihifadhi, unanilinda, unanitetea
[Chorus]
Wewe ndiwe unayenitetea Bwana
Wewe ndiwe unayenitetea
Wewe ndiwe unapigana vita vyangu mimi
Wewe ndiwe unayenitetea
[Verse 2]
All the weapon fashioned against me you will protect me
All the evil hearts want to see me down, but you uplift me
Father I got this confidence that you are with me
Always will defend me, you are there with me
[Verse 3]
My Jesus kila silaha, itakayo fanywa juu yangu
Bwana utaiondoa, ondoa-ondoa
[PreChorus]
Umeniepusha na adui zangu, umeniondolea majaribu
Umenitunza, umenihifadhi, unanilinda, unanitetea
[Chorus]
Wewe ni Baba yangu, wewe ni Baba yangu mimi Bwana
Wewe ndiwe unayenitetea
Wewe ndiwe unayenitetea mimi
Wewe ndiwe unayenitetea
[Chorus]
Wewe ndiwe unayenitetea mimi
Wewe ndiwe unayenitetea
Wewe ni Baba yangu, wewe ni Baba yangu mie
Wewe ndiwe unayenitetea
Written by: Guardian Angel, Timothy Boikwa
instagramSharePathic_arrow_out