Lyrics

[Intro]
Balance, fanya kama unaloose balance
Lose balance fanya kama unaloose balance
[Verse 1]
Flossin Mauwano vile nimejaza kwa streets
Vijana na wababa wananitaka kwa sheets
Class imepanda siku hizi nalipaga fees
Nafanya hawalali wanakosa usingizi
[Verse 2]
Freeze icecubes ndani ya glass yangu ya Whiskey
Kachoma ka wikendi tukishasukuma wiki
Manoti mashilingi ka Ginimbi na siringi
Noma sana puliza firimbi
[Verse 3]
Kachumbari haipashwi moto, haitaki joto
Siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto
Luku safi safi bila filter kwa mafoto
Tunakesha kama waumini kama popo
[Verse 4]
Haipashwi moto, haitaki joto
Siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto
Luku safi safi bila filter kwa mafoto
Tunakesha kama waumini kama popo
[Chorus]
Check imebalance
Check haijabounce imebalance
Leo ni kama nitaloose manners
Kata maji mpaka niloose balance
[Chorus]
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
[Verse 5]
Ka biz ya biz niko busy
Box yako kuingia mimi never easy
Roho yangu jaribu kuiba choma mwizi
Chunga glass wanaweza seti vitu zinafanya ufeel dizzy
[Verse 6]
Back to the mood, leo nina mpango ya kumarinate a dude
Fanya tabia mbaya mi nafanya a feel good
Femi fanya somebody son afeel cool
Cool, cool like a cucumber
[Verse 7]
Nawaroga na madoba kama mkamba
Steam bado zinazidi kupanda
Mpaka juu anastand you can't understand
If you stood under
[Verse 8]
Like a cucumber
Nawaroga na madoba kama mkamba
Steam bado zinazidi kupanda
Mpaka juu anastand you can't understand
If you stood under
[Chorus]
Shawn, check imebalance
Check haijabounce imebalance
Leo ni kama nitaloose manners
Kata maji mpaka niloose balance
[Chorus]
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
Loose balance fanya kama unaloose balance
[Refrain]
Kikombe nataka kulewa leta kikombe
Leta kikombe nataka kulewa leta kikombe
Kikombe nataka kulewa leta kikombe
Leta kikombe nataka kulewa leta kikombe
Written by: KAKA EMPIRE, WANJIKU KIMANI
instagramSharePathic_arrow_out