Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
Victor Amani
Victor Amani
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Victor Amani
Victor Amani
Producer

Lyrics

Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima
Alafu we unakafinya kama sima
Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba
Ni my song my sing my singer
Shulpa kahe
Sherehe wagenge iende hadi chee
Sere kusere tusimame
Sisi ma mbuzi sisi mamee
SSARU
Kizingiri imekuja na kina Tina
Kamkoba ni kafine lakini kana ririma
Tumacho ting utadhani ni twa mchina
Ambia jirani leo tonight tutamsinya
Nimeipima naona nikikunyima
We kemba mali safi si utuzimie stima
Mi niko wima sijakuja na bima
Wambie sina kakitu lakini niko na jina
Kaa ni nyege nyegeza tamu koleza
Brenda teleza wapi kwa meza
Denge pendeza kiatu tembeza
Dhufu ni ya pweza
Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima
Alafu we unakafinya kama sima
Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba
Ni my song my sing my singer
Shulpa kahe
Sherehe wagenge iende hadi chee
Sere kusere tusimame
Sisi ma mbuzi sisi mamee
IPHOOLISH
Ati koroga kwa mate
Stima hakuna but lakini leo lazima ziwake
Si lazima si lazima nikate
Nirombose sijali kama wewe ni wake
Haya tusakate twende tukaparty
Ndani ya party si rahisi unipate
Alinitusi jioni akanipata kwake
Ndio nisake yeye ndo alifanya dem yake anitake
Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima
Alafu we unakafinya kama sima
Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba
Ni my song my sing my singer
Shulpa kahe
Sherehe wagenge iende hadi chee
Sere kusere tusimame
Sisi ma mbuzi sisi mamee
EXRAY
Mi nikiroroa mwambie asome title
Mi hukasirika natoa rifle
Ifanye sai clone na mi ni idles
Kabla anisome anasoma signboard
The Chain command naenda round
Akifika kwake mwambie aziwrong(aii)
Kwani ni kesho tunaifanya so loud
Apa kila mtu anafika anabow
Ukipata natumia hii vitu za dunia
Napenda kumkamatia alafu ananiangalia
Kihiroshima ati tuko muratina
Hajui vile mi hupenda sana hapa kamutiii
Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima
Alafu we unakafinya kama sima
Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba
Ni my song my sing my singer
Sh
Sherehe wagenge iende hadi chee
Sere kusere tusimame
Sisi ma mbuzi sisi mamee
Written by: Mike Makori, Moses Otieno, Tony Kinyanjui, Victor Amani
instagramSharePathic_arrow_out