Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mercy Masika
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wolf Wörz
Wolf Wörz
Composer
Lornah Woerz
Lornah Woerz
Lyrics

Lyrics

[Verse 1]
Kuna aina za upendo
Aina nyingii
Lakini upendo sako ndio wa
Halisi
[Verse 2]
Kuna aina za utukufu
Aina nyingii
Lakini sako ni mkuu
Na wamilele
[Verse 3]
Kuna aina pia
Za miungu
Lakini we ni Mungu mkuu
Aliye haii
[PreChorus]
Nimekujua nimetosheleka
Toshelekaa
Nimekujua nimekupenda
Kupendaa
[Chorus]
Kuna namna, kuna namna
Unatupendaa
Inabidi Yesuu nikupende
Kuna namna, kuna namna
Unatutendaa
Inabidi Yesuu nikupende
[Verse 4]
Huku tu tena sawaswa
Na hatia zeta
Wala hukutulipaa
Kwa mabaya yetu
[Verse 5]
Umeniokoa mtegoni
Kwa mwindaji
Kwa manyoya umenifunika
Niko salamaa
[PreChorus]
Nimekujua nimetosheleka
Toshelekaa
Nimekujua nimekupenda
Kupendaa
[PreChorus]
Ujana wangu (Ndio)
Umerejehwa (Pia)
Ujana wangu (Ndio)
Umerejehwa (Pia)
[Chorus]
Kuna namna, kuna namna
Unatupendaa
Inabidi Yesuu nikupende
Kuna namna, kuna namna
Unatutendaa
Inabidi Yesuu nikupende
[Chorus]
Kuna namna, kuna namna
Unatupendaa
Inabidi Yesuu nikupende
Kuna namna, kuna namna
Unatutendaa
Inabidi Yesuu nikupende
Written by: Mercy Masika
instagramSharePathic_arrow_out