Top Songs By Tunda Man
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Performer
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KHALIDI RAMADHANI TUNDA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Yonah K. Abdallah
Producer
Lyrics
Mi' sio mwanaume wa panga wala sio mwanaume wa shoka
Ila nina roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa
Kwangu mke bora anapatikana Kimboka
Nishawahi fanya balaa mpaka shetani anaogopa
Nishauwa sana panya bila kutumia sumu
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu
Mwenzenu kumpiga bosi kwangu sio kazi ngumu
Mtoto wa miaka miwili namvutisha ndumu
Yani naogopwa kama kelele za mwizi
Ukipanga kuniroga jua unaroga chizi
Kwenye bwawa la mamba mi napiga mbizi
Na nikifa siachi pengo naacha fizi
Oya mi mtu mbadi
Wanangu mi mtu mbaya
Oya mi mtu mbadi
Wanangu mi mtu mbaya
Ata ukienda kwa mganga
Kutambika jina langi atakujibu nishazikwa
We soma matanga mi niibuke na wanangu tunakula kitakachopikwa
Njia nilizopita hazinaga mfano
Mwenzako nimeshapita hadi tundu la sindano
Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano
Ndio maana nauwasha moto, na sina mfano
Sina tatizo na waliopanga kunikomoa
Nawasalimu mliosema sitatoboa
Mtaani ngoma zinahit mpaka zinaboa
Tena siimbi sana na smoke na kukohoa
Mi' ni kioo nitazame ujione
Ukiweza ninachofanya ebu fanya tuone
Aiza ufe upone sina zihaka hata tone
Naukijifanya unanijua mi sitaki unione
Sifa za tembo sikuzote uwaga mpole
Ingawa n'na siri nzito za Aristote Lokole
Yani ukimuuzi sana atakupa kidole
Iki cha kati uko kwa mtogole
Oya mi mtu mbadi
Yani wahuni nisha oza nishachanganyikiwa
Wanangu mi mtu mbaya
Ukijitusu kunichokoza utachangamkiwa
Oya mi mtu mbadi
Eyi ehe eyi ehe eyi ehe eyi eh eh ee ee ee
Wanangu mi mtu mbaya
Eyi ehe eyi ehe
Mwenzenu kuku wa kafara situpi nakula mpaka vibudu
Oya mi mtu mbadi
Simuogopi mwanadamu mwenzangu kwa Mungu ndio nasujudu
Wanangu mi mtu mbaya
Demu unaemuona nyota ukilala unamuota wauni tushapiga uwa galagaza
Siku umemuokota kakuona unasota unampiga na picha na unamsambaza
Written by: KHALIDI RAMADHANI TUNDA