Music Video

Tundaman ft chid benz - NEILA (Bongoflava 08)
Watch Tundaman ft chid benz - NEILA (Bongoflava 08) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Tunda Man
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Khalid Tunda
Khalid Tunda
Songwriter

Lyrics

Mwili unatamani, nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona

Mi nakumbuka ka asira vuta, do you remember wapi Tunda nimekukuta
Ila najuta hujakumbuka, ukiniona macho yako yatakusuta
Neila sikia ninayookuambia, mi nakupenda ila ndo umewahiwa
Sina hasira mi si Rila kwenye mapendi ndio nshapoteza dira
Sura nkikumbuka mwili unastuka, nywele ikigusa kabisa naweweseka
Mi nateseka huzuni umenfika, kama hiyo upendo unahisi umeshakatika mama
Mwili unatamani, nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani, nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Neila tulipotoka, ila nashangaa utakumbuka
Taswira jaribu tu kuivuta, mila na destruri tutaivuka

Sitojali kama unaye au una mpango naye, jaribu vuta taswira, kumbuka usikatae
Ju ni lini mimi tulikutana zamani, tulipofall in love tukawa ka hayawani
Mwili unatamani (Kwa sababu ulinipotea) Nafsi inatamani (Muda huu wote nakupokea)
Sipendi kujinyima kama mlokole na uzima, Chidi Benz aka Fire ila mliki nauzima
Natetemeka hata zaidi ya kuwewezeka, bila wewe sijui wapi nafsi yangu nitaiweka
Namiss kucheka nanuna navunda mdomo, stori maskani hazinibani kama mtoro na masomo
(Neila) Mi nikikupata mi sitokuacha, njoo ililala ila familiar ndoto mzuri ulipata
Nikikupata mi sitokuacha, njoo ililala ila familiar ndoto mzuri ulipata
Mwili unatamani, nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani, nafsi inatamani na macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani, nafsi inatamani, macho yanatamani Neila nami kukuona
Mwili unatamani na nafsi inatamani na macho yanatamani Neila nami kukuona

Written by: Khalid Tunda
instagramSharePathic_arrow_out