Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Rose Muhando
Songwriter

Lyrics

Yesu wee nakupenda, bwana Yesu wee nakupenda

Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda

Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu

Msalabani dhambi zangu ulichukua, kufika kalivari Bwana ulizitua, nami nimewekwa huru ninakwimbia

Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba haa), naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba haa), hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)

Nani asimame badala yako? (Baba), hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Nafahamu Yesu anipenda mimi
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu
Nilipokuwa kwa shetani niliugua, ndugu na jamaa zangu walinikimbia, lakini Yesu wa huruma ukanihurumia
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba haa), naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba haa), hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba haa), naona fahari mimi ninakuimbia (Baba)
Nani asimame badala yako? (Baba haa), hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba)
Ninajua Yesu wanipenda mimi
Yesu nakupenda, bwana Yesu wee nakupenda
Yesu wee nakupenda, bwana Yesu wee nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda
Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu
Kwimake eh, kwimake weh, kwimake weeh, kwimake eh
Kwimake mundewa Yesu (Alleluia) oh kwimake eh (Kwimake Baba)
Kunilapa kwe luhoma baba (Alleluia) oh kwimake weh (Kwimake Baba)

Kwimake baba (Alleluia) kwimake baba (Kwimake Baba)

Kwimake baba (Alleluia) ma-ma-ma-ma-ma-ma (Kwimake Baba)
Kwimake mundewa baba (Alleluia) oh kwimake eh (Kwimake Baba)
Jaga kyala (Alleluia)
Written by: Rose Muhando
instagramSharePathic_arrow_out