Top Songs By Mamajusi Choir Moshi
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mamajusi Choir Moshi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mamajusi Choir Moshi
Songwriter
Lyrics
Nimeahidi yesu kukufuata wewe,
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu
Nimeahidi yesu kukufuata wewe
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu
vitani siogopi, karibu vita
Njiani sipotei ukinitangulia
2 (Solo):
Nimejitoa kwako kukutumikia
Siku za maisha yangu niwe nawe
Nimejitoa kwako kukutumikia
Siku za maisha yangu niwe nawe
Sema nami baba, sema nami
Sema nami baba, sema nami
Niko tayari mimi kukutumikia
Niko tayari mimi kukutumikia
Sema nami nisikie, Sauti ya upole
Sema nami nisikie, Sauti ya upole Bwana
Itulizayo moyo mkuu uliotaabika
Nitie moyo mkuu uliobondeka
Sema nami baba, sema nami bwana wangu
Niko tayari sema nami mimi kukutumikia
Sema nami baba, sema nami bwana wangu
Niko tayari sema nami bwana wangu
Nyumbani kwangu sema nami bwana wangu
Kazini kwangu sema nami bwana wangu
Niko tayari sema nami bwana wangu
Niko tayari sema nami bwana wangu
end
Written by: Mamajusi Choir Moshi