Lyrics

Sio kwamba mi nina wivu hivyo ila tatizo kwamba ulileta maringo
Ukashindwa geuza shingo, sababu sikuwa na mingle, ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto, Ghetto moja local, unadai ilivyo joto
Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto, msoto, ukataka toka na vibopa (Masonko)
Nikakosa plan B mtoto wa Ghetto, ukanifanya mpaka nikaonekana mental
Pindi nadanda danda mambo hayajasettle, si ulitaka-taka mali na me enzi hizo sikuwa na hali
Ndo sababu haukuenda mbali, na mi rudi na hizo mali
Si ulitaka-taka mali, ukaniona choka mbaya, so ukiniona mimi tena, naomba ukae kae mbali
Tatizo ni kwamba (Nimeanza na ukurasa mpya), na reason ni kwamba, (Nimeanza na ukurasa mpya)
Tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, labda tatizo
Naskia stori kibao, mama walo kibao na wenye hela kibao, sa mbona umeachana nao, hao
Walionizidi kete, wamekuwacha mpweke, tatizo we kicheche, au ladha we umesahau
Nilivovisha kete naskia we ulicatch, unataka tu mabeste haiwezekani eeh, hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
Hapana mama siwezi, najua we una moyo pia we una nafsi, ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
We una moyo pia we na nafsi, mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
Ulitaka-taka mali na me enzi hizo sikuwa na hali, ndo sababu haukuenda mbali, na mi rudi na hizo mali
Si ulitaka-taka mali, ukaniona choka mbaya, so ukiniona mimi tena, naomba ukae-kae mbali
Tatizo ni kwamba (Nimeanza na ukurasa mpya), na reason ni kwamba, (Nimeanza na ukurasa mpya)
Tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, labda tatizo
Mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya
Mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya, mpya
Tatizo ni kwamba (Nimeanza na ukurasa mpya), na reason ni kwamba, (Nimeanza na ukurasa mpya)
Tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, labda tatizo
Tatizo ni kwamba, na reason ni kwamba
Written by: William Nicholas Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out