Lyrics

Yao Yao, Boondocks Gang gang Yoh prrr Kang Kang Wakali wao, yao yao Ndio hao clue on the beat yoh Buda nachorea huyu madam Buda zimeraru ukadance Weekend ndio hiyo imeland Mkoba akilalisha unda plan Itisha hizo keg na majug Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithaa yut man, we turorie Odi kabisa turorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Simama kwa miguu rusha mikono juu Ni kangoma kamenice anza tu kubanju Eey ushageuka umeshika tu ukuta Cheki tu kwa kichwa umeshuka tu matuta Ona vile nyuma umejaza tu mauta Me kwenye mdomo hani mkono niko luta Kama zimeshika tuwakuna nawachilia Madem wakikam tunawapandilia Starehe yetu bei tumegharamia Cheki masaa, tumeshachelewa Sasa nani atadrive na tumeshalewa Ebu chunga hao madem wanaweza kupora Ju wengi wa huko ndani ni wakora Cheki sasa tu zimenice Hiyo glass yangu niongezee zile ice Najua nitableki toka sasa mpaka night Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithaa yut man, we turorie Odi kabisa turorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Odi wa Murang'a amekam turorie Makeg zikiisha muratina turorie Tukimix na kindovu zitugorokie Ah mi nakata biko hadi munikururie Kama thutha iko fiti mi nariada Na ka itabidi nitaseti hadi wada Kimahuru toa kutu hadi nikiwa jaba Nyorea mi hapana tambua lawama aah Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithaa yut man, we turorie Odi kabisa turorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Yoh, nabonga tu Arabic, ninabonga tu na ngeli Ya waroro wamekam wamechrome ka bacteria Nataka tu nilewe nibebwe hadi ma area Ka daily ya kusere tu na pongi tu ya Maria Shikisha njugu na veve, tei ni kachok Hapa mi ndio sponsor, mi ndio the host Piga tot, piga chok, na makwela na matoast Kibash kiko lit kimeanza tu kuburn yoh Ki u-Miguna miguna, baby come, baby come Za madem zimenice wameanza tu kuturn Za wagenge zimeshika ni kushuka na madam Mi nadai figure 8 ndio niskie tu utam Kata kutu toa nyege, punguza mahanjam Kuku danger kuwamanga tunapenda vitu tam Na kama wewe ni fisi kama line nitakucross yoh Seti ki sssh, kiende chain mos mos Shuka na madam, mjulubeng ka ni gun Ruka hiyo plan kuruwen ndio niburn Amesanif pedi kuna mresh ashawet Kameseti already si unajua we ndo next Kamemada pienga si unajua hii ni case Kanadai emoji kuna haja ya kutaste Anadai Konyagi na machaser za ma Krest Anacheza kunguni na sijui ka ni pest Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithaa yut man, we turorie Odi kabisa turorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out