Lyrics

Wacha wacha chuma ilale Kijana hatari mimi silalagi kwa kazi na stamina Mimi ninayo kama ya jini Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Nateka ngeus wa getho ama wendani Chapa ilale we lalisha uko ndani Tangu raing siku hizi mkoba ni wengi Tangu weng siku hizi mambleina ni wengi Tangu lolo siku hizi wamlambez ni wengi Tesa joh hiyo turi kishenzi hadai lolo yee anataka chuchu Hadai kudarwa yee anataka munju free banton yee anataka buju Penda yeye kwa sana ama juju tuingie ndani mangeus madudu Wacha, wacha chuma ilale ndani Tk, eeeeh romour has it ati breeder Hupenda nginyo design ya haadi nikiichapa si ni kifo Na me hodari mi huichapaga na finyo (Na finyo) na hapa nai si madem hupenda fimbo Aah kwanza ngoja amefika kejani Msichana si ana tako utathani amebeba meli Nampiga lugha si unajua yaani ngelii Punde sio punde tusharuka kwa bedii Oooh lord ooooh jesus ooh breeder Mimi huitwa dzaddy saa zile nashughulika Me huaga rapper na leo nimebadilisha Naleta vibez oldschool kaa za e-sir Na magizani ndo bado mimi huzama Madiva soo if im on it I promise naleta fever Shingoni im sorry hii key huumiza Narudi tena na tena sitakuficha Wacha, wacha chuma ilale ndani Nkiitiwa ikus me hucome ng'ware nimejip Makondiko sitaki jakadale Na sii za kabaki walai nimetoboka mwaree Wamnyonyez we inama acha muhahe Kama ni mabeshte kutu kaa inataka 6 inch sii Mapepe mimi siskii nayo zikinishika Karada Fulani nimemanga story kwisha Ilale ndani hatare na haitambui giza Na akae rada kama pedi chuma itatapika Ujuzi mingi nina ngwati kaa GB sitaa Na mimi mwenyewe huziwasha tii nkaa wikatiwa Mtoto alilia wembe saa hii anataka Chuma inawasha hadi anajikuna Ni mwepeshe kejani magiza Achachishe watii majirani hakuna haja ubani mimi sikani Niko oops mimi na tools na majani (na majani) niko uduuh ukilalisha ni utani (ni utani) Nichome tire nisafishe na ubani Wacha, wacha chuma ilale ndani Kijana hatari mimi silalagi kazi Na stamina me ninayo kama ya jini Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out