Music Video

Kawazim - Boondocks Gang || Sailors || Magix Enga
Watch Kawazim - Boondocks Gang || Sailors || Magix Enga on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boondocks Gang
Boondocks Gang
Performer
Sailors 254
Sailors 254
Performer
Magix Enga
Magix Enga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Songwriter
Francis Macharia
Francis Macharia
Songwriter
Edward Kimachu Irungu
Edward Kimachu Irungu
Songwriter

Lyrics

Uuuh uuuh
Eee enyewe mnakuwanga mmenizoea
Na hii nduru bana sipigi tena eeh
Itabidi muanze kuniripa
Enga ebu cheza hio ngoma bana
Achilia hiyo ngoma bwana
Yoh yoh yoh
Nimepull up na genge nzima
Ukicheza bare moja kijanaa
Na utazima
Ghai woooii sa umenigongea nini
Oh skiza beat
Vile nimekaza hizi kick
Na ukicheza pia dem wako
Naweza mkaza kama nati
Aah ngoja ngoja kwanza
Magix Enga kwa nini anaimba
Na anaproduce sio fair
Buda hii industry ni yangu
Ukitaka kuhit itabidi ukuje kwangu
Ama ubook a session nikufanyie kangoma
Uhit kidogo hiyo ni fair
Aaiii mi nataka hii bill
Kuna vile brain na uchizi zinamix
Aaiii speaker zikigith
Zimakuwanga fiti yaani physically fit
Aaii raha kwenye sit hudance kwa matiti
Nawaongeze nawaongeze
Kawazim kawazim kawazim mimi,eeeh
Kawazim kawazim kawazim mimi
Uhoroki
Kawazim kawazim kawazim mimi,eeeh
Kawazim kawazim kawazi mimi
Uhoroki
Niko madu aii niko madudu niko
Madu aii niko madudu
Niko madu mmh niko madudu
Niko madu aii niko madu aii niko
Madu aah niko madudu niko
Madu mmh niko madudu
Ya wariro zimeshika ka mukorino
Huku daktari hapa hakuna maombitho
Zina kaa red ako nyanya ako ridho
Mapunyeto hapa ni kaa DC
Sheto ka ni ngeus tanideceive
Hana county na mi DC
X video ABCD
Toto wangu weh,weh
Mimi baba yenu, weh
Ikus ka ni ya poko,weh
Labda akuwe virgin,weh
Aliua fisi,weh sasa torokeni eeh
Wethoni regaridha tunitoni regaridha
Tunitoni regaridha tu tidia waguruki
Aru aru waru meza kavu kavu kavu
Supu ya madafu dafu dafu
Niko radhi kwa bafu bafu bafu bafu
Niko madu aii nko madudu niko
Madu mmh niko
Madudu
Niko madu aah niko madudu niko
Madu mmh niko madudu niko
Madu mmh niko madudu niko
Madu
Aaah aah saa ngapi
Odi wa Murang'a ati we ni nyundo poa
Kwa du
Lakini mi hupenda paka supper tu
Na nina ka ugonjwa ya kuomoka ndugu
Nikope pinus naorder maguka zoo
Zimeshika kama toja ikiwa swallow
Niko kotini na koti yangu imejaa mandom
Mi kichwa mbaya mi so trile ka jaa mandom
Na nina riada ya hawa madem wao
Hunyora kwako gui
Na hii sio mbigiji jinga type
Avavavaavavavava ngoja ngoja
Ngoja ngoja ngoja ngoja
Ati aaii ati nitoe nisitoe,toa
Nitoe nisitoe,toa Nitoe nisitoe,toa
Nitoe nisitoe
Aaae mukorino naaah
Nosiowa dhuria negethara reki
Ciume themo thitho kweeja kerima
Kerima ya siro gai gai gaaaii
Huskii ati nilikuwa nadhani ni pekejeng
Ati pekejeng pekejeng
Aaiii aaaaiiiiiii unaskia nini unaskia
Venye nimemuingiza
Wewe utaniuwa,kwani hujawahi kufa
Utaniuwa
Umeskia venye nimemuingiza,wamekufa,whatsapp group
Aaah rukido
Buruweng' aki walai jaba imeraruka
Alafu sasa,alafu sasa sijasema kitu
Si pewa kete pewa makete pewa maketee
Sijasema kitu beats ni ya magix enga
The beat king ameuaa
Written by: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui
instagramSharePathic_arrow_out