Lyrics
[Chorus]
Upo mbali na masogange
Njoo utulize mtima wange
Upo mbali na masogange eh, eh
[Verse 1]
Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona
Miaka mingi imekatika ma, ila mi sijakuona
Kile kidonda changu cha mapenzi, moyoni bado hakijapona
[Verse 2]
Nitapata afadhali mi, endapo we nikikuona
Kama warembo mi nawaona wengi, tabia zao naona normal
Najaribu shinda vishawishi, nisije mi kukupa ngoma
[Verse 3]
Bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda mami?
Bado nakupenda wewe, wapi ulikokwenda?
Njo maana nakuimbia popote ulipo sikia baby, urudi nyumbani
Nakuimbia popote ulipo sikia mami, tuishi kama zamani
[Verse 4]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Verse 5]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Verse 6]
Long time ago, nakusaka mrembo
Nakusaka baby, nijue upo wapi mama
[Verse 7]
Upo siopenda kuona mimi nawe, tunapeana real love ni wengi
Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
Wasiopenda kuona mimi nawe, twapendana my baby ni wengi
Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
[Verse 8]
Chochote watachokuambia, usiwasikilize
Nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
Chochote watachokuambia, usiwasikilize
Nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
[PreChorus]
Endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza
Endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
Endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza, haya
[Chorus]
Upo mbali na masogange
Njoo utulize mtima wange
Upo mbali na masogange
Njoo utulize mtima wange
[Chorus]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Verse 9]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Chorus]
Upo mbali na masogange (Upo mbali)
Njoo uutulize mtima wange (Njoo utulize)
Upo mbali na masogange eh, eh (Upo mbali)
[Chorus]
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yanaumiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyoni
Mapenzi yana tesa rohoni
[Chorus]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Verse 10]
Mapenzi yana tesa moyo we
Mapenzi yana umiza moyo we
Mapenzi yana tesa moyo we
Njoo unipoze roho
[Outro]
Wewe, toka long time ago
Nakusaka mrembo nijue uko wapi mama ah
I love you, I need you
I love you, I need you
I miss you, I love you
I love you, I love you
Written by: Belle 9