Music Video

Mapenzi kitu gani (feat. Chelea Man)
Watch Mapenzi kitu gani (feat. Chelea Man) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mbwana Mohamed Ally
Mbwana Mohamed Ally
Songwriter

Lyrics

waamini miujiza mchumba
sauti ya nyuki, naskika
songea karibu baby
tamzi ushaufika
unipe uhuru dear
unikiss ninapotoka
toka mlimani dear
niwe free na ninakopaa
mpenzi kwa fujo my boo
moyo wangu ushauteka
raha ya Afrika ratiti
mimi ndio huyo honey naskika
hivi kwa nini dear
moyo wangu unautesa
hivyo ushabaki dear
roho inavyonipenda east Afrika
Written by: Diamond Platnumz, Mbwana Mohamed Ally
instagramSharePathic_arrow_out