Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Performer
ML
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Lyrics
Lyrics
Yeah, yo what I gotta do to make you come through baby girl
Ha, you are the only thing that I soma I'm trying to find what I'm gonna do baby girl
Ucheshi na sauti yake, amenifanya nam miss tu
Mwambie asiogope, Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani, hiyo yote kwa ajili yake yeye
Tena asije peke yake, asiogope aje na wenzake ii
Ntafanya party nyumbani, hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake, asiogope aje na rafiki zake eh
Basi mwambie aje
Aje
Oh aje
Aje
Aje na rafiki zake
Aje
Asije peke yake
Aje
Oh aje
Aje
Aje, oh aje
Aje
Aje jamani aje
Aje
Aje nam miss aje
Aje
Uzuri wake timilifu
Nshamuona na watu maarufu tu
Kina Wema Sepetu
Nikaomba namba beach wakanishushua shuu!
Ilinikosesha raha
Lulu nae kamdanganya
Kwamba mi ni wa kwake
Aniogope tena asinicheke eh
Ilinikosesha raha
Lulu nae kandanganya oh
Kwamba mi ni wa kwake
Aniogope tena asinichekee
Basi mwambie aje
Aje
Oh aje
Aje
Aje na rafiki zake
Aje
Asije peke yake
Aje
Oh aje
Aje
Aje, oh aje
Aje
Aje jamani aje
Aje
Aje nam miss aje
Aje
I’m gonna marry you one day, come through baby girl
I just want us to speak, si we met on a Monday
You must be next Monday, 'cause you make it one week
Have you been to the West side?
Forget whatever you seen on them Nollywood films
I just wanna be your best guy
So let’s try till you testify no one’s better than him
Baby, give me your digits
Google map location, come and visit
You should show up in something exquisite
I can come over to yours, girl, where is it?
You could teach me to speak in Swahili
Like “sawa sawa, mambo vipi?”
Can you tell that I’m feeling you really?
Ali Kiba and M.I my baby, I know that you feel me
Written by: Ally Salehe Kiba