Lyrics
Konde boy, call me number one
Bakhresaa
(S2Kizzy, baby)
Oh-oh, ah-uh-ooh, ah-ah
Ukiwa mvivu
Ni rahisi sana kuwa na wivu
Tuliojituma tuka-achieve
Usitushangae tukila mbivu
Uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
Mmh, ona yanavyokutesa
Sie kwetu ni sherehe
Oya leo sherehe
We don't really mind hata tukikesha
Liwake hata ikinyesha
Leo siku ya sherehe
Oya leo sherehe
Wanangu huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
Leo huku (tuna sherehe)
Huku (kuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
Oh, na-na-na-na, na-na
Na-na-na, na-na-na, na-na
Na-na, na-na, na-na-na, na-na-na
Mmh, kuhonga kubaya ukiwa huna
Ila tuliojipata kwetu sunnah
We' jigambe unamkuna
Huku walio na meno wanatafuna (bomboclaat)
Mwenye kisu kikali kala nyama leo
Kidali kaachwa na jimama leo
Kwetu kuna sherehe
Oya leo sherehe, oh
Mpaka kesho tumeanza leo
Wasiotoka wametoka leo
Wameifuata sherehe
Oya kwetu kuna sherehe
Uliwaza mapenzi tukawaza pesa
Mmh, ona yanavyokutesa
Sie kwetu ni sherehe
Oya leo sherehe
We don't really mind hata tukikesha
Liwake hata ikinyesha
Leo siku ya sherehe
Oya leo sherehe
Wanangu huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
Leo huku (tuna sherehe)
Huku (kuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
Oh, na-na-na-na, na-na
Na-na-na, na-na-na, na-na
Na-na, na-na, na-na-na, na-na
The Mix Killer
Writer(s): Harmonize, Kassula, Rajabu Abdulkahali Ibrahim
Lyrics powered by www.musixmatch.com