Lyrics

Mhh mhh Mungu aliumba Dunia mapenzi tangu tangu Yashanipiga sasa sinabudi nielewe Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe Oh, ila mpe shukrani kwa kuniumiza Suraya Mwambie mi bado maututi, nauguza kidonda changu Na asisikie hasirani, mwambie mapenzi mabaya Hata angali hai Khairuki asingetibu gonjwa langu Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) Sina amani nasanga rumba (rumba) Unanidunda dunda Sema chine tembee moyo oh Unanidunda dunda (mami moyo) Sina amani nnasaga rumba (mimi) Unanidunda dunda Ehh ukimwona Ukimwona, ukimwona Ukimwona, ukimwona Ukimwona Nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya Tena wengi waongo wala wasimdanganye Oya ni mashoga, rafiki; marafiki wabaya ohh mhh Tatizo mi bado, nilipoteleza nikakosa sipajui Mpaka akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui Ubaya kinachoniumiza maneno neno maneno oh Mara kwa ndugu rafiki kwanini anawapa misemo oh Najaribu papasa labda kwa macho hataona chochote Ila ndo kutwa mikasa na nnazidi kuanguka niokote Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) Sina amani nasanga rumba (rumba) Unanidunda dunda Sema chine tembee moyo oh Unanidunda dunda (mami moyo) Sina amani nnasaga rumba (oh mimi) Unanidunda dunda Ehh ukimwona Ukimwona, ukimwona Ukimwona, ukimwona Ukimwona
Writer(s): John None Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out