Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati
Bahati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati
Bahati
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana

[Verse 1]
Nipe tu dakika keti chini nikuambie
Nachukua hii fursa mama wacha nikuimbie
Nipe tu dakika keti chini nikuambie
Nachukua hii fursa na dunia isikie
Miezi tisa ndani yako kanibeba uchovu
Na miaka tisa kando yako ukinitoa uovu
[Verse 2]
Mama miezi tisa ndani yako kanibeba uchovu
Na miaka tisa kando yako ukinitoa uovu
[Chorus]
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
[Verse 3]
Uu utovu wa nidhamu ndani yangu ukaupiga
Na ndoto za utotoni ukanipa motisha
[Verse 4]
Mama utovu wa nidhamu ndani yangu ukaupiga
Na ndoto za utotoni ukanipa motisha
Mwanangu unaweza lolote ukijikaza utafika popote
Mwana, unaweza lolote maono mengi ulifanya niote
[Verse 5]
Mwanangu unaweza lolote ukijikaza utafika popote
Mwana unaweza lolote maono mengi ulifanya niote
[Chorus]
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
[Verse 6]
Ulijinyima nipate wee, hukutaka nikose ee

Ulijinyima nipate (Mama), hukutaka nikose ee
Ulijinyima nipate (Mama), hukutaka nikose
[Chorus]
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa maaulana
[Chorus]
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
Maana kubwa kwangu mummy ndio nakuimbia mama
Zawadi nono kwangu haki kutoka kwa Maaulana
Written by: Bahati
instagramSharePathic_arrow_out