Top Songs By Boondocks Gang
Credits
PERFORMING ARTISTS
Boondocks Gang
Performer
Tony Kinyanjui
Vocals
Francis Macharia
Vocals
Edward Kimachu Irungu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Songwriter
Francis Macharia
Songwriter
Edward Kimachu Irungu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sage
Producer
Lyrics
KAFYAT BOONDOCKS GANG
Haga ni real makucha za kina Mo-i
Manze ni mrembo na tabia za bo-i
Alianza kurap, kanarap ka mo-i
Vile kalibash, tukakuwa maadu-i
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga nikaflat kanatembea na mapampers
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Haka nikafyat plus, nikabad man
Haka mumesama, tuachie badman
Ni kafyat anaona zikingwata
Macho ziko on kwani uoni jicho nyanya
Ntakudush nkiona zinariet
Mzinga na kcc bado siezi kosa jinare'
Nikubad bad, nikitegea bana mbanare'
Toka stage, nikomboka naingia ndani tumare'
(aah)
Itisha mzinga unanikatisha udo
Nikotamashani flani, najikatisha udo
Syle mara alafu usiku ntaredo*
Nikithagi natakaskiwa bado naoana ntaredo*
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Kenye Nachecki Kwarinya Inanibamba
Nacheki jegi kwa top nimaziwa
Si ni mathegi mbaroni hatujatiwa
Ilikuwa deadly mliacha nkivamiwa
Kwa ni ile weekend
Kwanza ni weekend
Kuicheza defence
Nasinanga pretence
Hustle ijipe
Ndo mayolo tufike
Mbona ukanyime
Kejenge karidhike
Haga ni real makucha za kina Mo-i
Manze ni mrembo na tabia za bo-i
Alianza kurap, kanarap ka mo-i
Vile kalibash, tukakuwa maadu-i
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Bad bitich, na mbogi ni ya ratish
Ganji, stalking namafundie
Bundit, vile kako gannit
Chalice, kuvuta kingwai
Palis navile nikasafi
Chalice ni ma tiktok kejani
Hapa hivi tuna diss, fulani ya kifielder
Na luku ni adidas
Fine ass you're smatter
Wine up kukiwaka
Stylia then, kukata waba
Roll mi na roll, na wadada
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Haka ni kafyat kanasnap namataptap
Haka ni kafyat kanachase na matasker
Haka ni kafyat kancon hadi mabanger
Haga ni kaflat kanatembea na mapampers
Written by: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui