Lyrics

Nilicho omba amejibu double Nilicho omba amejibu double Ei double double.double double Na eti na bado.bado bado I never know I never know Atakuja Leo ama tomorrow But I know I know Baraka zake hazinaga sorrow Akibless no man can curse No man can curse Akibless hakuna wakureverse Hakuna wakureverse Niliomba baiskeli akanipa gari Niliomba kibarua akanipa kazi Niliomba kuamka akanipandisha ngazi Niliomba kuoa akanifanya mzazi Mipango yake kwangu.kwangu Ni zaidi ya mawazo yangu.yangu Akibless no man can curse No man can curse Akibless hakuna wakureverse Hakuna wakureverse Nilicho omba amejibu double Nilicho omba amejibu double Ei double double.double double Na eti na bado.bado bado He's never too late Akicome una over take Baraka zake sio fake Bora uzingoje uta taste Ata time haucheki ako kazi We ngoja utaona wazi wazi Ata come akupandishe ngazi Shetani afure ka mandazi Kwake ni ndio na Amina. Amina Akicome ana mimina. Mimina Mipango yake kwangu.kwangu Ni zaidi ya mawazo yangu.yangu Akibless no man can curse No man can curse Akibless hakuna wakureverse Hakuna wakureverse Nilicho omba amejibu double Nilicho omba amejibu double Ei double double.double double Na eti na bado.bado bado Ei double double.double double Na eti na bado.bado bado
Writer(s): James Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out