Top Songs By Moji Shortbabaa
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Moji Shortbabaa
Performer
Jabidii Jabidii
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moji Shortbabaa
Songwriter
Jabidii Jabidii
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada-bada-bada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
[Verse 1]
Vimbada bad like a David
Wacha nguo ziraruke like a baby
In Christ we party, in Christ we raving
Wakiuliza, washow in Christ najibamba kabisa
Tell them najigamba kwa Jesus
When you think all He has done for me
The blessings coming (Power!)
[PreChorus]
So nashukuru niko sawa (So mi navimbada)
Eey, nampa sifa kama kawa (So mi navimbada )
Eey
[Chorus]
Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada-bada-bada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
[Verse 2]
Eeh! Okay, alright ni Shortbabaa
Eeh! Na ukinicheki hapa nimetoka far
Na kama huamini, unaweza uliza shosho
Vile alizunguka soko, alafu tukaokoka
Sa si watoto wa sonko, sa no worry ata ndogo
[PreChorus]
So nashukuru niko sawa, so mi navimbada
Eey, nampa sifa kama kawa so mi navimbada
[Chorus]
(Eey)
Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada-bada-bada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
[Verse 3]
Attack the beast like Rambo Commando
On the beat we make a scandal
Anytime you dance for God pride weka kando
They bitter not but we handle
Me adi light the world, so me like a candle
[Verse 4]
We ni boy ama ni dada, ah tuna vimbada, vimbada
Uko church ama kibanda, tuna vimbada, vimbada
Ata mashosho wanavi-vimbada
Maboy na mabuda wanavi-vimbada
Ata na ma-punk na ma odi wanavi-vimbada
Kila mtu ana-vimbada
[Chorus]
Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada-bada-bada
Energy (Energy), synergy (Synergy)
[Outro]
Vimbada
Vimbada
Vimbada
Vimbada
Written by: Jabidii Jabidii, Moji Shortbabaa