Credits

PERFORMING ARTISTS
Moji Shortbabaa
Moji Shortbabaa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moji Shortbabaa
Moji Shortbabaa
Songwriter
DK Kwenye Beat
DK Kwenye Beat
Songwriter
Guardian Angel
Guardian Angel
Songwriter

Lyrics

Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Umekuwa rafiki wa dhati
Ingawa sometimes napatana na umati kama Juda, nakuuza bei thirty, we wa thirty
Umenishika hauniachi
Kwa njaa unanidunga makaimati

Naskia kuruka kama maasai pole pole, juu hajawai angusha huyu kijana wa Kayole
Amenipa moto wa balokole
Daily anifunza utadhani niko Colle
Kwake niko fully-fully, natulia tuli-tuli-tuli
Za shetani mi sikuli kuli-kuli
Nakafunga ka kifuli fuli-fuli
Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Mi hajawai hajawai kuniacha hata kama sifai
Eeh, mi hajawai hajawai mi naye kama suti na tai
Kutoka nizaliwe Ongwaro
Ah, nikicheza na orwaro
Akanitoa chini kwa mtaro
Jina lake juu Kilimanjaro
Kutoka nizaliwe Ongwaro
Ah, nikicheza na orwaro
Akanitoa chini kwa mtaro
Na jina lake juu Kilimanjaro
Iye yee yeh
Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Mi hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Hajawai hajawaii, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Oh ooh oh-oh, ooh oh-oh, hajawai niangusha
Written by: DK Kwenye Beat, Guardian Angel, Moji Shortbabaa
instagramSharePathic_arrow_out