Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
DCMTRS
DCMTRS
Performer
Eric Musyoka
Eric Musyoka
Piano
Brian Mwangi
Brian Mwangi
Lead Vocals
Noah Mugi
Noah Mugi
Rap
Boniface Chege
Boniface Chege
Rap
Bon'eye
Bon'eye
Rap
Brian Nadra
Brian Nadra
Lead Vocals
KonKodi
KonKodi
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Eric Musyoka
Eric Musyoka
Songwriter
Brian Mwangi
Brian Mwangi
Songwriter
Noah Nga'nga
Noah Nga'nga
Songwriter
Boniface Chege
Boniface Chege
Songwriter
Dave Kelly
Dave Kelly
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eric Musyoka
Eric Musyoka
Producer

Lyrics

(Damsel!)
Akipita huwezi mhata
Kamali-safi,balenciaga
Nami napenda akibalance haga
Kaudunga forex,gucci kana
frada/
(Bombshell!)
Akipita huwezi mhata
Kamali-safi,balenciaga
Nami napenda akibalance
haga/
Vibombastic,yuko na attractor
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,doobie na kinyasa
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,gwillo na
kinyash
Mbogi ni naree Tuna gotha
Niko ma tools ka fundi leo mtachoka
Hizi foreign inabidi unarudi ocha
Mad out vibes leo ukichizi ndio kupona
Ahh
Hataki fling anataka tu my candy gun
(Pew pew)
Ana Swipe n switch Kama candy crush
She a Bombshell ting
Hey mambo sweetheart?
(Hallo!!)
Na Akidai kendi lazma a -ti-dat
Hapa ma Brown ni mbwex Kama za I.D
ndio tume slide kukaza haisaidii
Hizi stance
Ma kang'ethe wana cop balance
Na sample mali safi kama lecturer
Bei ni Gushi kama ni frada
But mi napenda aki balanci haga!
Hii ndio waàna inataka Toto
Aki Dai head
Kanyau inapata ngoto
Akipita huwezi mhata
Kamali-safi,balenciaga
Nami napenda akibalance haga
Kaudunga forex,gucci kana
frada
(Bombshell!)
Akipita huwezi mhata
Kamali-safi,balenciaga
Nami napenda akibalance
haga/
Vibombastic,yuko na attractor
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,doobie na kinyasa
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,gwillo na
kinyash
Bukla ya nini
Keja yenyewe Kilabu
Bugdha ya nini
mi ndio mwenye Kila boo
Cheki boo spendi riba za Udoo
Lifestyle slap ka Bien (being) Cheeky tu
Mukuchu kitutuu nipate Sacco
NAKAM JUTHI USENGE Niko
Mchanyanyiko nikiwa Rikooo
Kwa bei nafuu thiiii Kokorikoo
Bandal Bandal nadunga ka kidungi
Freshi ma bidhaaa na si za juzi
Kaa si minji stoi mchuziii
Tukilock kana tii Tick toka (tictoker) committee
(Damsel)
Akipita huwezi mhata
Kamali-safi,balenciaga
Nami napenda akibalance
haga
Vibombastic,yuko na attractor
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,doobie na kinyasa
Balansehh!
Balansehh!
Balenciaga,gwillo na
kinyash
Written by: Boniface Chege, Brian Mwangi, Dave Kelly, Eric Musyoka, Noah Mugi, Noah Nga'nga
instagramSharePathic_arrow_out