Credits
PERFORMING ARTISTS
DCMTRS
Performer
Fredrick Mulla
Rap
Brian Nadra
Rap
KonKodi
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Brian Mwangi
Songwriter
Noah Nga'nga
Songwriter
Irabor Osamudiamen
Songwriter
Fredrick Kombo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Smus Qweed
Producer
Lyrics
Mmmhh
Mhhhhh
Mhh
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Baby can we do the honours,
Ka una pressure mi n'na more gas.
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Baby can we do the honours,
Ka una pressure mi n'na more gas.
Sa mbona ni fake posture
Naifanya na ease
kubwaga ni easy
You do as u please
My chii is on Key
Na option ni free
More life kwenye seed
napunguza beef
Utateseka
No burdens to share,
Na roll under pressure
Then napunga air,
Ni vako unadai
ndio vako nta care
Nasonga na tides
Usiniombe fare
Uki tembea nasema ongeza pace
If its not me and you
You go find ur space,
Alidai No strings
Nikamshika weave
Huwaga ngumu jo kusuka
You go find ur peace,
Hujiskii pia sijiskii
Ah Guess Issa wrap Kama chrissi
Switch game
switch lane
Swezi bugda
Here's to tbt
soko inadai
Mapya mapya
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Kwenda bila we na pona
Na sina pressure nina focus
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Kwenda bila we na pona
Na sina pressure nina focus
Asante kwa kunifanya
nirudi clean
7 days a week
niko busy busy
with the team
Na read bible kila siku
Maumivu yalinifanya
nihitimu kwangu ulisha dim
Ulikua unadhani ukijikataa
Nitabaki with the
same pain in my heart
Hell, nah mi ni mpya
nishaona other side
Kuna nyingi opportunities
nilisha grab one
You belong to the street
tukikutana just hi
ila mapenzi yaki pass by
Nitasema Hi and close my eyes
niwaache mpass by
Ujiskii pia sijiskii
Kwangu uko off beat
kwani hujiskii
Shida we hujihisi key
Nami kitambo
nilisha change keys
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Baby can we do the honours,
Ka una pressure mi n'na more gas.
Marua ma mŭico!!
Thimo na ciugo nditŭ.
Kwenda bila we na pona
Na sina pressure nina focus
Written by: Brian Mwangi, Fredrick Kombo, Irabor Osamudiamen, Noah Nga'nga