Credits
PERFORMING ARTISTS
DCMTRS
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Eric Musyoka Lamu
Songwriter
Nyamari Ongegu
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Mi ndio mkali wao mahali hao udish wanafaa kusali
Wakiangalia hali yao since niingie uwanjani
Na wang'aria kawaida chief
Hawataki, uliza raia isikuwe eti ni beef tu ndio wamebaki
[Verse 2]
Nazo kuskuma career zao mashabik wako macho
Kitu inakuambia ndo hao wanapiga kichapo
Nawamentor for real and am iller than I was when they said I was ill ah
Approach pole pole kama Salgaa Ya!
[Verse 3]
Stick by me like UB40 or a bad Tattoo
Acha niwashow vile smack alinishow nyinyi mnaeza copy
Style heshima amwezi copy
na Over Do!
[Chorus]
Used to be the cool kid siku hizi na Over Do
Sema ku Over do skia hii beat niambie hapaMusyoka aja Over Do
Sema ku Over Do ulianza vifiti siku hizi unaji Do
Sema kujido inagonga vistupid eka mkono juu
Leo tuna Over Do
[Verse 4]
Okay announcement
God ndio King sio mimi
Na obviously ka sio mimi sio nyinyi
Ingekuwa unaongea mbaya unaumia ulimi
Ningekuwa ICU chini ya mashini
[Verse 5]
Ka happy hour kwa roof ama kwa jet
Niko hapa na set bar so high
Usiwahi forget expect only the best from I and nothing less
Being the best and therefore I command respect
[Verse 6]
Kufuga ndevu geuza good guy thug
Naskia una hela ndefu kama goodbye hug
Unatuambia ukona taste ubaya look haimatch
Naskia madem warefu usema mi ubuy lunch
[Verse 7]
Here is some extra information am that ****
Not rich yet but my mindset is nine figure
Don't regret learn your lessons and grow bigger nanii
No ninja flow sicker than me
[Verse 8]
Roundi wanatii shit feel like a dream
Nani tamu vile Naiboi analive dream ya Rap Damu
[Chorus]
Used to be the cool kid siku hizi na Over Do
Anza ku Over Do, ukiskia ni new shit anza ku Over Do
Anza ku Over Do skia hii beat niambie hapa Musyoka aja Over Do
Sema ku Over Do inagonga vistupid eka mkono juu
Leo tuna Over Do
[Verse 9]
Prayer u solve anxiety kiki u solve irrelevance
Talent size ya njugu ego size ya elephant
Leo tunasaidia nugu kesho people don't remember
Already a legend ka Onyiso au Pele
Ni hivyo au kwanza uwaulize ndio waseme
No equal ka unataka batizo come upewe
Leave for now love forever maybe utaenda heaven
Maybe utaenda broke uanze ku care more for your brethren
[Verse 10]
Ulimi ukata mahali uwezi pakwa GV Aha!
Na mi niliwaambia hakuna rapper natii Aha
Udi yanini mtu hapa amewasha nini
Haujaila so mbona inakuwashwa nanii
Am in the zone my guy
Been in the zone for a while
[Outro]
You used to be
An amazing lover
Oh yea, oh ye yeye
What do I know, what do I know about you
You used to be iih
Written by: Eric Musyoka Lamu, Nyamari Ongegu