Top Songs By Decimal Records
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
DCMTRS
Lead Vocals
Boniface Chege
Rap
Brian Mwangi
Lead Vocals
Eric Musyoka
Sampler
Noah Nga'nga
Rap
Brian Nadra
Lead Vocals
KonKodi
Rap
Bonface Kariuki
Lead Vocals
Masta Ajab
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Eric Musyoka
Composer
Noah Nga'nga
Songwriter
Boniface Chege
Songwriter
Brian Mwangi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eric Musyoka
Producer
Lyrics
Drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Si ni furahi day na kuna keroro, we kamu tu
Si ni furahi day na tuko kwa keroro na, we kamu
Tuko na drinx na madame ama tunaslide tu kwa ma-DM
Tukitafuta maresh kwa magame, na-na-na-na wewe uko game-de
Niko game inde, ninapiga posture inde
Mi si kama Ethic sitachange position, but bado nakubeng
Niko na drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Si ni furahi day na kunadai game, kasindano kamejam
Karoro kamepiga mukoro, mafisi wako chrome
Mbogithi kebonyoski
Ni ka-Juja ju vile kako Thika, ah, piga deki na bado kanapick
Sema teke na figure ni ya mita, vile kanabend boxer naharibika
Akichuna mboga niko waist, makali akirombosa ninachase
Alafu shoto ile design ya revenge, ithe-ithe leo nina mbithe
Drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Si tupewe zile ndoro, zile zi hufanya mi ni go hadi moro
Zile zi hufanya tunakosa ma-morals, nipe morale amsha usidoro baby
Ngurumisha isonge, nikuwekelee kama carbon paper
Leta Adhiambo, kipusa fanya mambo, hadi waya ishike mitambo
Ju hii bunde imebeba mborogoto, rungu kienyeji hapana githungu
Hii bastola imebeba mborogoto, rungu kienyeji hapana githungu, bana marinado
Niko na drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Niko na cum tu na wengine wanadai kukamu tu
Waiter, leta, zikikamu tu, marinate, marinate niwe gemu tu
Wamlambez, wamnyonyez na malalez, niko drinx na my Ex
Alifanya poa tu kuni-ex, siku izi nakuanga tu drinx na mayenx
Na maparty asubuhi si lazima sunset, baby mama ako hapa anadai we ni Ex
Laleez, wamlambez, marinate, marinate niwe gemu tu
Niko na drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Drinx na mayenx, drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx, drinks na mayenx, we kamu tu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame, drinx na madame, we kamu tu
Written by: Boniface Chege, Brian Mwangi Gitahi, Brian Mwangi, Eric Musyoka, Noah Nga'nga