Top Songs By Msamiati
Credits
PERFORMING ARTISTS
Msamiati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
LeMecca
Producer
Lyrics
Eeeh
Mimi napenda wali maharage
Sheeshh
Hata mimi x 2
Ughwe umenyee
Ndaghaa
Ninampenda ananipenda tunapendana
Ananipenda ninampenda tunaendana x 2
Wali maharage x 8
Mkete lelo ndindwana kufwana ameweka ki kigodoro
Vitu vya nyumbani kukaja T tatu tumbo kubwa sio kasoro
Nibhabhulile ngulonda kukwegha harusi kubwa tumoro
Kama ni mali nimeanza kuchanga mkaja wa mama ufolo
Lazima nishukuru kakutunza
Kanilelea gwee mwana umefunzwa
Mchapakazi Nise kajifunza
Mimi kwa wewe chakula cha funza
Moyo wako wapekeee ntautunza
Loligwiputa wanga kufukuza
Kusali tabia iliyo nikuza
Unanimalile unaniburuza
Tusoke tukete amisi tukale mihogo ya coco
Bhosa bhaleke bhajobe hao mbwa ni koko
Babe Tubhuke kisiba matema mtoko
Ukufwana Gangilonga una view kiboko
Chorus
Ninampenda ananipenda tunapendana
Ananipenda ninampenda tunaendana x 2
Wali maharage x8
Nishakula sana mingo
Nshajieleza sana dingoo
Kitu cha mama mandingo
Mipango mingi ya kingooo
Akulonda sana bingo
Ngumbomba ale kwa maringoo
Muhuni kapiga mshindo
Happy life na amigo
Haya mapenzi sio kidogo
Tunafanana umbea kigogo
Wivu mwingine unakuja na zogo
Sitaki mwingine funga door
Funga door
Wanasemanyumba jiko ila muhimu choo
Muhimu choo
UkuPilikisya ngukukolela wangu njooo
Nikudekeze nikuliwaze nijiongeze nikupe doo
Niwekeze upendeze wakugeze
Wafollow more
Watubeze tuongeze tuwaumize zao rahoo
Nisipoteze nisilegeze nisipunguze mpenzi u go
Ninampenda ananipenda tunapendana
Ananipenda ninampenda tunaendana x 2
Wali maharage x8
Eeh umpunga ni ndima
Nikupende vipi
Tena wa kyela Tukuyu
Bhagwitu
Na mimi nataka na mimi nataka
Unakula kwa watu eeh naenda kukusemea kwa mama
Written by: Fredy Benny Mbetwa