Top Songs By Kaynaksh
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kaynaksh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mbarouk Hemed
Songwriter
Lyrics
Lamtu hashirikishwi nguruwe anashirikishwa mtu binadam mwenzie
na mungu humpa amtakae mm kumpenda yy nimeamua mwenyewe
kimedondoka chenyewe kidaka siulaum mnazi mie
umeitaka mwenyewe talaka usitupigie kelele
unapita kuropoka kwa maneno ya kuzua mapenzi niliokupa mwenyewe hukuchukua ukinisema kwa mawi ipotee nia yakomapenzi yangu sigawi kwa mtu aina yako
kidaka mwenzenu nahudumiwa nnachokitaka nkiombannapewa x2
we huogopii we huogopi we huogopi natamba nae we huogopi hzo jitihada zako kunikalia vikao ukome tabia yako mm sio kama hao
kabadili profile yako tusilione komwe lako nmeshavuka mwenzako mm sio level yako kama nna baya semeni nakama nna gumu semeni
Written by: Mbarouk Hemed