Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bensoul
Bensoul
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benson Mutua Muia
Benson Mutua Muia
Songwriter
Rajabu Abdulkahali Ibrahim
Rajabu Abdulkahali Ibrahim
Songwriter
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
Songwriter
Mordecai Mwini Kimeu
Mordecai Mwini Kimeu
Songwriter
Benjamin Kabaseke
Benjamin Kabaseke
Songwriter
Samuel Kyama Hendrick
Samuel Kyama Hendrick
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Samuel Kyama Hendrick
Samuel Kyama Hendrick
Producer
Gustino
Gustino
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Huu maak, sina ex
Sina noma, niko best
Nimechoma, nimeoga
Pamba napiga safi, nyama nakula Turkey
[Chorus]
Niko on, niko form, niko job, niko show
Niko home, niko ndom. nakuwarn, na cologne
Am a bomb, am a stormĀ I go on for so long
Maafaka can't injure me, ye-ye-ye-ye
[Chorus]
Chupa kwa chupa, vunja mifupa
Aloniacha leo anajuta
Chupa kwa chupa, leo sina pupa
Tunajirusha usiku kucha
[Chorus]
Chupa kwa chupa, vunja mifupa
Aloniacha leo anajuta
Chupa kwa chupa, leo sina pupa
Tunajirusha usiku kucha
[Verse 2]
Mmh my gosh
Mitungi ya shisha inanipa moshi
Ona kama vinywaji havitoshi
Kumbuka Konde kaja na Poshy
Mmh my gosh
Mitungi ya shisha inanipa moshi
Ona kama vinywaji havitoshi
Kumbuka Konde kaja na Poshy
[Verse 3]
Sema unataka nini sasa?
Nairobi au Mombasa?
Bad boy Konde nairombosa
Sinaga show za robo saa
[Verse 4]
Unataka nini sasa?
Nairobi au Mombasa?
Bad boy Konde nairombosa
Sinaga show za robo saa
[Chorus]
Chupa kwa chupa, mioro ka Fally Ipupa
Aloniacha leo anajuta
Chupa kwa chupa, ukitaka mi nakuu
Tunajirusha usiku kucha
[Chorus]
Chupa kwa chupa, vunja mifupa
Aloniacha leo anajuta
Chupa kwa chupa, leo sina pupa
Tunajirusha usiku kucha
Written by: Benjamin Kabaseke, Benson Mutua Muia, Bien Aime Alusa, Mordecai Mwini Kimeu, Rajabu Abdulkahali Ibrahim, Samuel Kyama Hendrick
instagramSharePathic_arrow_out