Top Songs By HITMAN KAHT
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
HITMAN KAHT
Performer
MASTAR VK
Performer
Scar Mkadinali
Performer
COMPOSITION & LYRICS
RAI NORMAN NG'ANI
Songwriter
Lyrics
Wale wa west wale wa west wako wet drip
Wale wa East kwa mabeast betika betslip
Ujanja ya memes ni bundles
IG hatuwezi wahandle
Masponyo na mpango wa kando
Wanacompete na maninja Eastlando
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Nganya ngori ni kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami si ndio hujenga hadi nyumba kwa lami
Usiniite Mukami ju sina mangombe na mimi sikami
Unaona kitambi pole lakini mi naona ni tummy
Nipate nyumbani nadishi mangoko hadi juu ya sahani
Hukati makali hushikishi kajaba na buda hunyanyi
We Kenya uhame ju huna wasupa na buda huhanyi
Kazi ni kazi kipaji ni kazi epuka madwanzi
Uza vibanzi hata kama ni mwitu kachonge viazi
Usiringe ju wewe ni manzi ushinde umepiga mapicha kejani
Hujui kupika jameni huezi hata ongeza maziwa majani
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Nganya ngori ni kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya si kwangu Kenya si kwako lakini bado sihami
Kenya ni ya RAO Uhunye na Ruto wasitubebe madwanzi
Street imejaza vituko inabidi me nibebange bangi
Napatia msupa kiboko kama ni pesa akasake mlami
Ka una stress we kam tuive
Bado niko ghetto choo ziko nje
Nikiwa mtaani roho iko eazeh
But wanajua me ni Rong uko nje
Must walipe wacha leo ras aringe
Vijana wanataka maridhee
Mambanga wanataka watuuzie
Bora dishi na nichome kikolo bado me nitashinda nimezoza
Me naona Wakenya wakishikana mikono tunaza kaiba pamoja
XXXL ndio jacket kwa goro ndio niwasundie mabidhaa
Sikuwa nao uongo nilikuwa solo nikichomea koja
Wale wa west wale wa west wako wet drip
Wale wa East kwa mabeast betika betslip
Ujanja ya memes ni bundles
IG hatuwezi wahandle
Masponyo na mpango wa kando
Wanacompete na maninja Eastlando
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Nganya ngori ni kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Kenya Sihami
Written by: RAI NORMAN NG'ANI