Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
. Gwaash
Performer
VUVA
VUVA
Performer
B Razor
B Razor
Performer
COMPOSITION & LYRICS
RAI NORMAN NG'ANI
RAI NORMAN NG'ANI
Songwriter
DENNIS KIVUVA
DENNIS KIVUVA
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Hitman ting, hitman ting
Badman ting, badman ting
Hitman ting, hitman ting
[Chorus]
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
[Verse 1]
Wabebe, si ujibebe
Dem yangu anadai tu matembe
Niko fete, nimejisete
Amejibeba, usimueke
[Verse 2]
Niko east kwa mabeast na manjege wako on
Amejibeba ako fine sura nzuri amevai
Kwani nini? Uko hai piga moshi ukuwe high
Ikiweza toa kutu uzirai
[Verse 3]
Ukimwaga skia fine, kazi safi inadai
Watoto wawili tunadai, Njoki Nduta na Wamai
Iko nini? Uko fine, young retro walai
Uko maji haidai, ntakukata walai
Tumewabeba walai, ngoma mbili zinadai
Nikimada sema hi, kwa vuva na rai
Tumewabeba walai, ngoma mbili zinadai
Nikimada sema hi, kwa vuva na rai
[Chorus]
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
[Verse 4]
That girl she a bad and she know
Cheki vile amenimurder sheerow
Like a snake body gal there she go
Dogo dogo baby ka kinyonga
Mi napenda vile haga inasonga
On the floor kwanza beat ikigonga
[Verse 5]
No lie fine gal umeniroga
Umestand ka matatu tu za Ronga
Nakubeba everywhere mi ndo donda
Wacha kubonda, tunawatoka
Wanachoka, wanabaki wakislim wakikonda
Waskie tu maouch tu vidonda
Tunawatoa mbio mbio kama honda
[Verse 6]
Pewa makali wanatoa mpaka njeve
34 tunakujanga na rende
Boy vuva tu na gwaash na b razor
Big tune kwenye club wanacheza
[Chorus]
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
[Verse 7]
Toka Tao hadi Doni nawabeba mbao mbao
Hao hao nawabeba hadi hao
Nao nao juu juu ka karao
Beba shh, ndio tuwashe angalao
Nina heshhma so sipendi madharau
[Verse 8]
Ni yeye na yeye hadi tutoe njeve
Trouser bila belt umebeba mizigo kama mama wa gikomba wah
I swear nikimcheki nina melt na
Ako aware leo usiku nitatesa
No fear ju nimejipin na macd kama dj, no sweat
[Verse 9]
Usiku bila vest, no dress
Game pole pole kama chess
Na after that ntakubeba kila place
Queen na crown we ndo empress
Pesa mingi nimebeba nikuimpress
Nina interest kwako nishainvest
[Chorus]
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Wabebe skiloo, wabebe waskie ah ah
Written by: DENNIS KIVUVA, RAI NORMAN NG'ANI
instagramSharePathic_arrow_out