Top Songs By Wakadinali
Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
David Munga Ramadhan
Songwriter
Lyrics
Haina noma, huna namna, tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana, life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana, kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna, wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama

Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa, ubesh chege eventually chunga
Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
Ndio tuchokeshe njege, kibronji aliisunda
Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa, tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
Kuna watu ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster, twenty-twenty hawataki trouser kuwararukianga rasa
Tukivunjwa goti, bila ku-show ka Hussein Machozi, we si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
GTA, Grand Prix, wrong rende pia ni kikosi, sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
Aliwasha ndani ya ploti bila ku-doze, wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi
Mi ndio Simba nina kovu, so ka we ni swara moja, still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya
Haina noma, huna namna, tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana, life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana, kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna, wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna, tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana, life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana, kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna, wakadinali, wakadinali, wakadinali mtoto wa mama
Wataungana, sifa zote kwa Maulana
Niku-nikukazana, wata-wataungana
Wata-wataungana, sifa zote kwa Maulana
Niku-kukazana, wata-wataungana
Ile design nimeji-humble kwako, Baba, kila inaumanga, Eastlando, hustle nadra
Kinagaubaga nafilisika nayo, tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
Sina makao, ndio maana nimeishi kote, ka Sila na Paul, milango ziliji-open
Casino za tao, mipango zao ni all same, nipate, nikose, nisote mpaka nikope
Compe ni shughuli za dunia, kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia
Kwa wale wote walo kula ma-scar, hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly
Juu ya madawa, vijana wetu wamepagawa, hasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
Mambang'a wanachinjwa, wanagwaya, jiji na ma-banner tukishindangwa na gava
Haina noma, huna namna, tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana, life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana, kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna, wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna, tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana, life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana, kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna, wakadinali, wakadinali, wakadinali mtoto wa mama
Written by: David Munga Ramadhan