Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
HITMAN KAHT
HITMAN KAHT
Performer
VUVA
VUVA
Performer
GUANTAI
GUANTAI
Performer
COMPOSITION & LYRICS
RAI NORMAN NG'ANI
RAI NORMAN NG'ANI
Songwriter
DENNIS KIVUVA
DENNIS KIVUVA
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Hitman Ting Hitman Ting
Badman Ting Badman Ting
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye ka Olunga
Bao mbili tatu menafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
[Verse 1]
Na kama Rolla, siezi kuwa tu tribal
Lugha joh ni pesa buda joh mi ni tribe all
Nina side kwa keja na main anadai call
Wanjiru and Akinyi wanadai ball
Na me ndio Messi hakuna pass me nafunga
Hakuna Harambee mi si Olunga
[Verse 2]
All welcome lakini si kwa chakula
Rada ni masocialite chorea joh machura
Tuliwamurder Shee-Row, pale Wabebe Skillo
Zikashika zikanice utadhani zero
Hitman Badman kare koth ero biro
Koth ero biro kare koth ero biro
[Verse 3]
Came a long way from dislikes and blueticks
Tangu Get a Tako wakadai kuget kiss
Tuliget ass sahii wanagive tits
Wanadai beng na nimechill kuliko Netflix
[Chorus]
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye ka Olunga
Bao mbili tatu menafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
[Verse 4]
Ka Olunga aye ni ka Olunga
Cheki freshi luku me nadunga tu adida
Nikipiga show joh mangeus wanawika
Sianda fiti jegi fiti zinadai
Wote wakipull up wako sexy wamevai
All I say is how are you you can say you're fine
Nimechangamka ukidai extra time
Zimeshalipuka cheki flow ikinuka
Watu wanabanjuka wanashika ukuta
Ni Njoki na Nduta wamejaza mafuta
[Verse 5]
Piga left piga right huezi daka
Top striker kila mtu anakatwa
Mi nawacha hadi kipa amedata
Pull up with gang we real don dada
You can love it or you hate it don't matter
Skiza ngoma we zitoke ikibamba
Toka Wabebe walibaki waki ah ah
[Chorus]
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye ka Olunga
Bao mbili tatu menafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
[Verse 6]
Nafunga tu mabao, wanadhani mi ni wao
Kwanza vile imeweza wanafaa kulipa thao
March kwenye beat kama afande hajalipwa
Nafunika tu ngoma itabaki mmezikwa
Tingisha tu diaba usiogope kuzianika
Tupate kwa kiwanja tunatema si kubanja
Amechora saba mi nakuja tu na rubber
Niite tu Olunga nimekuja tu kufunga
[Verse 7]
Weka fiti mi nadunga
Huyo ni wako mi nasunda
Washa shada mi navuta
Toka Runda hadi tao imebaki wamembao
34 ndio tuna mao
Tunazitoka tu hadi moro, ni watiaji na wasoro
Itabaki mmetii, we ni mbleina pigwa zii
Unga dunga kama B, anapenda tu ka D
Me nampa double D, toka Donii hadi D
[Chorus]
Ka Olunga
Bao mbili tatu mi nafunga
Aye ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Aye ka Olunga
Bao mbili tatu menafunga
Ka Olunga
Makeki ka watatu nikipullup
Written by: DENNIS KIVUVA, RAI NORMAN NG'ANI
instagramSharePathic_arrow_out