Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Maarifa
Maarifa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rashid Rais Mohamed
Rashid Rais Mohamed
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Rash Don
Rash Don
Producer

Lyrics

intro:
Kibaha Finest
Naitwa Maarifa
Chorus
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Nyimbo Zangu Kwa Sasa Simshirikisi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Namaliza Mwenyewe Sishirikishi Mtu
Verse 1
nipo na Rash Don studio kinondoni
kusikiza beat naona kabisa anakaa MONI
alichojibu sijui ni MALENGO hayaoni
eti kurekodi mpaka twende majengo sokoni
dodoma noma chonde oooi pisha
nikaona chap nimchek KONDE BOY TEACHER
hakunificha ‘ yaani palepale
akaniambia Madee nisawa na Tale Tale
vitaaaa’
ndio hapo nikaona nafasi
nikifanya na Nandy views ntaongeza kwa kasisa
sa’sijui ni wasiwasi ...!?
akasema mpaka akamuulize Bilnass
Zuchuakasema safi ataimba
na wimbo ameupenda atatimba
siku ya kurekodi ikatokea shida
napiga simu mara khee ikatoke shida
napiga sim mara kheee kapokea SIMBA
Chorus
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Nyimbo Zangu Kwa Sasa Simshirikisi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Namaliza Mwenyewe Sishirikishi Mtu
Verse 2
collabo kubwa kama tetema au Mang’adakiwe
nkamchek Janja tupige kama Achaiwe
nipo batani mambo yamiziki nisiambiwe
mwaka huu sitoi ngoma liwalo na liwe
au ni mchek Ben..!?
hatuikosi trendtutaenda hata top ten’
maana kuhusu Msechu msikilzeni
wimbo wa mapenzi ila mistari ya kampeni
nikaiwazia singeli nikamchek Makabila
ndio nikaamini yule mwanangu ni bila bila |
kwanza anahila pil anahasira
mziki haumlip kageuza mapenzi kuwa ajira
nikaona ROMA eeeh tutaua yaani
sa’kutoroka MAREKANI ananijua nani..!?
zamani ningemuweka marijani
ila uhai kama moshi ukienda haurudi yaani
Chorus
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Nyimbo Zangu Kwa Sasa Simshirikisi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Simshirikishi Mtu
Namaliza Mwenyewe Sishirikishi Mtu
Outro
Wooooh
Come On
 Say What..!? Mtoto Wa Baba
Namaliza Mwenyewe Sishirikishi Mtu
Written by: Rashid Rais Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out