Music Video

Peke Yangu Sitaweza By Msanii Music Group TO DOWNLOAD DIAL SKIZA 7639868 TO 811
Watch Peke Yangu Sitaweza By Msanii Music Group TO DOWNLOAD  DIAL SKIZA 7639868 TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo
Joash Nyamongo
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Pekeyangu sitaweza
Safari ndefu ya shida
Peke yangu sitaweza
Kufika Yerusalemi
Pekeyangu sitaweza
Safari ndefu ya shida
Peke yangu sitaweza
Kufika Yerusalemi
Nipe Nguvu za kushinda
Za kushinda
Majaribu ya dunia
Za kushinda
Safari njema na bwana
Na Bwana
Nahodha wa roho yangu
Shetani yu kando yangu
Yu kando yangu
Kaniweka hatarini
Yu kando yangu
Moyo wangu nafungua
Nafungua
Yesu uwe ndani yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
[Chorus]
Nipe Nguvu za kushinda
Za kushinda
Majaribu ya dunia
Za kushinda
Safari njema na bwana
Na Bwana
Nahodha wa roho yangu
Shetani yu kando yangu
Yu kando yangu
Kaniweka hatarini
Yu kando yangu
Moyo wangu nafungua
Nafungua
Yesu uwe ndani yangu
[Refrain]
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
[Verse 2]
Wengi wanafikiria
Dunia ina furaha
Hatimaye wanajuta
Mikononi mwa shetani
[Verse 3]
Wengi wanafikiria
Dunia ina furaha
Hatimaye wanajuta
Mikononi mwa shetani
[Chorus]
Nipe Nguvu za kushinda
Za kushinda
Majaribu ya dunia
Za kushinda
Safari njema na Bwana
Na Bwana
Nahodha wa roho yangu
Shetani yu kando yangu
Yu kando yangu
Kaniweka hatarini
Yu kando yangu
Moyo wangu nafungua
Nafungua
Yesu uwe ndani yangu
[Refrain]
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
[Chorus]
Nipe Nguvu za kushinda
Za kushinda
Majaribu ya dunia
Za kushinda
Safari njema na Bwana
Na Bwana
Nahodha wa roho yangu
Shetani yu kando yangu
Yu kando yangu
Kaniweka hatarini
Yu kando yangu
Moyo wangu nafungua
Nafungua
Yesu uwe ndani yangu
[Refrain]
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Oh nahodha
Nahodha wa roho yangu
Written by: Joash Nyamongo
instagramSharePathic_arrow_out