Lyrics

[Verse 1]
Niko down mpaka moro nikidiss hai mabombo
Ma MC lambistic mapick ni hormonal
Si ni big baba ole chizi abnormal
Nabeba game kwa mongo ka farsi ya polo
[Verse 2]
Nyi marapper tulia ntawahadle solo
Ni mic kwa mkono kilighter kikolo
Nawaboss kama Pablo, plato aplomo
Kwa mambo bado hii ni teazer kionjo
[Verse 3]
Nimeti ule proffesor, fit, ngwoya
Chilly Roma Nicky, TMK pia
Tz gods jo salut siezidare
Hao manubi Indio unataka kuwakojolea
Na lea-lea
[Verse 4]
Hakuna kitu mzuri ka kufanya kitu twice
Mara ya kwanza ni kuitry na ya pili confirmation
Nimekuja na mtihani na bado hamja revise
Only the real wata survive hii ni natural selection
[Verse 5]
Me si rapper me ni psycho na mirista ziezi isha
Vocabulary ni mingi nilikua namada insha
Na naitisha paper extra ndio niongeze tamthilia
Na hii swahili nyi sifia ndio natumia kuwatishia
[Verse 6]
Mkono juu ka we ni MC Tanzania
Najua hampendi pesa ju ni mambo ya dunia
Lakini hamuoni vile tu wasafii walingia
Na hizo ngoma nyi huchukia sa hivi ni ma billionaire?
[Verse 7]
Hiphop ni culture ya love
Lakini Kenya si hatujali so mapenzi haiwork
Si hunyora kwa ukuta imeandikwa ati usikojoe hapa
Instructions ndio mambo Kanairo hatuezi fuata
[Verse 8]
TZ rappers outdated like a PS 2
I stand tall, I'm the biggest Im the illest too
I'm a genius too, you illeterate fools
Keep it lyrical but fists, I can swing em too
[Verse 9]
Huyo mandonga naeza mpiga na nimvunje mguu
Who's who's? I don't care Im a hungry wolf
Nikisema niko ma moshi simaanishi town yenyu
Saa hii ni Kenyan Music hatutaki vibe yenyu
Ama tuambie Rao alete maandamano kwenyu
Na Miguna aanze kutusi orezo wenyu
[Verse 10]
Mkiwa na shows huku tuvuruge venue
Si ni ma gwangi, machizi I tell you
Ma jeneza nazidai nizijaze
Na ma MC wa TZ niwamade
[Verse 11]
Bongo rapper akibonga matope
Nawaambia waniwezi kama Konde
Beast mode kucha sharp kama wembe
Manyoa, ma meno na mapembe
Cash crop zenyu bado ni ku buy views
Na mtuchoche vile nyi huwa ma tycoon
[Verse 12]
Natumia flow ya Ngesh na bado nawamaliza
Jeshi imebonda ni ka keroma imeisha
Hamjawajibika niko kwa mlango nabisha
Ring leader wa kuwageuza mishkaki in an instant
[Verse 13]
After ni kubaya hadi Yobra alijua ni kubaya
Nina vodoo mbaya, lyrical wizard natema fire
Humble neighbors wamegwaya watajibu na hizo choir
Sina ubaya hii ni hiphop, ka umeshindwa we retire
[Verse 14]
Game over eight ball ishaingia
Hii ni war, nawa colonize pia
Itabidi AU imeingiliaa
We mwijaku sa ni nani unatishia
[Verse 15]
Deal na cassypool na sabato, sabato
We ni kurutu huezi zoza kwa hii battle
Si lazima utie neno kwa kila jambo
Mau Mau si ni sons of the struggle
[Verse 16]
Rare talent hii skill ni unheard off
Kwa hii grao pigwa tackle na ma hand off
Breeder_lw follow hio handle
I came, I saw and I Rose ka Muhando
Written by: Breeder LW
instagramSharePathic_arrow_out